TehJirani ile Harrier yako ya silver unayokujaga nayo umeshaiuzaa...!?
Asante mkuu nimeshazoea ndio zetu hizo kusimamia bombapole
Basi wapiii me sijui basiIle ni basi bhana
Ujue mdomo wako naombea uwe wa heri jaman na me mwakani nimiliki hata gutaHebu tuachie uzi wetu bhana
Anapenda selfie huyo akiwa anaendeshana mm nimemuuliza hapo...aseme tu
Naona siku nyingi hujapanda raha leo wewe!!!Basi wapiii me sijui basi
namuonaga tuAnapenda selfie huyo akiwa anaendesha
HahahaUjue mdomo wako naombea uwe wa heri jaman na me mwakani nimiliki hata guta
Kwahiyo basi siku hizi lina sit za watu wawili tu nyumaNaona siku nyingi hujapanda raha leo wewe!!!
Anatuchafulia tu uzi wetunamuonaga tu
HahaAnapenda selfie huyo akiwa anaendesha
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hapa JF nadhani ni mimi na wewe tu ambao hatuna magari.
Ina maana hukuona watu nyuma yangu au, tatizo wewe mbishi ka nini sijawahi ona mabonge wabishiKwahiyo basi siku hizi lina sit za watu wawili tu nyuma
HahaAnatuchafulia tu uzi wetu
ebu mwambie atuache bwana, atusubiri nje tunataka lifti sisi...Anatuchafulia tu uzi wetu
si unatuchekaa [emoji20][emoji20]Haha
Yaani nimecheka mpakaaa
Mfyuuu ujue watu wataniogopa hata kunisalimia ebu acha mambo zako hata baiskel sinaHahaha
Hilo guta veeepe, au ni ile helikoputa yako ulisema ya kwenda sokoni
Tajiri na msomi hawezi kosa gariMi gari la kuadithia jf ninalo kichwani ila uku mtaani Sina nakuwaga nalo nyuma ya keyboard