Tusio na magari tukutane hapa

Hakuna asiye na gari JF,Humu wote ni wasomi na take home zetu si chini ya milioni1
Acha kuongopa mkuu mi mwenyewe tu namiliki RANGE ROVER VOGUE sasa we ukose hata PRADO la milioni 50 SI KWELI!
 
Ebu nipe ruti ya kwenda escape one from mwenge nimealikwa sikukuu ya kuzaliwa ila hata sijawahi kufika huko, napanda gari za wapi maana naskia iko mikocheni , alafu kuna kiingilio? Kama kipo siendi sina ela mm

Njia rais apo nadhani chukua bajaji pasua njia y coca cola kule utatokezeamo huko escape 1, ila andaa 3000 kwenda, 10000 kuingia na yakutumia 50,000 itapendeza zaid
 
Teh teh kama kipato chako kidogo kaa mbali na gari maana litakupa hadhi usiyonayo kiasi kwamba itabidi maisha yako nayo yawe ya gharama kidogo kuanzia nyumba unayokaa maana hapa unahitaji parking na jamii inakuona una pesa so mizinga itakuhusu sana. Pia kutokua na gari ndo changamoto zaidi maana kuna maeneo usafiri ni shida na jamii itakuona bado hujafanikiwa kimaisha. Kuna wasichana utawakosa kabisaaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…