TUTUO
JF-Expert Member
- Dec 3, 2013
- 3,251
- 2,030
Hahahaha maneno ya wenye wivuMm ndoto ni Nyumba sio gar nataka niitwe baba mwenye nyumba sio baba mwenye gari
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaha maneno ya wenye wivuMm ndoto ni Nyumba sio gar nataka niitwe baba mwenye nyumba sio baba mwenye gari
Itapendeza zaidi.Hivi humu kumbe kuna watu hawana Magari, (Nimetumwa na Dr Louis)
NdioNimenunua Trekta 2 zipo mahali zinafanya kazi kwa kukodisha.
Hivi Mimi nikae kundi gani la wenye magari au???
Dahh!! Umeuchana ukweli wenyewe, gari si lolote linapokuja suala la usafiri wa ndani ya mji au mkoa ni sawa tu na kumiliki pikipiki, gharama zake ni kubwa sana halafu unakuta mmiliki ni ticha wa shule ya msingi lazima akili zimkae vzr, kabla ya kununua gari jenga kwanza nyumba ya kuishi na uwe na biashara iliyonyooka.Huu ndio ukweli mchungu sana ambao watu wengi wenye magari hawapendi kuusema na hawatausema mbele ya watu wasiokuwa na magari.
1/Kununua gari kumewapelekea kwenye madeni kutoka kwenye taasisi za kipesa. Walikuwa hawajawahi kukopa benki lakini kupitia gari walikopa. Na mikopo hiyo ni ya muda mrefu na yenye riba.
2/Gari limepelekea utumwa wa matumizi ya Pesa ili kulihudumia hilo gari au kwenda sambamba na maisha ya kumiliki gari. Gharama za maisha kwao zimekuwa juu wakati huo huo kipato chao ni kile kile au kimepungua.
3/Furaha na Amani ya kumiliki gari ni kidogo sana tofauti kabisa na mategemeo na matazamio yao kabla ya kumiliki hilo gari au mapema wakati ndio wameanza kulimiliki. Kiufupi gari limeleta karaha pia katika maisha yao.
4/Wengi wanajuta kimoyomoyo kuhusu maamuzi ya kununua gari wakati walipaswa kufanya baadhi ya mambo mengine kwanza au aina ya gari walioamua kuimiliki haikuwa sahihi kwao.
5/Kumiliki kwao gari hakukuwafanya kujisikia kupata utoshelevu bali kumeongeza uhitaji wa kutaka kumiliki gari tofauti na hilo au kumeleta unyonge fulani mbele ya watu wengine wenye magari mazuri na bora zaidi yao.
Huna gari mkuuNimenunua Trekta 2 zipo mahali zinafanya kazi kwa kukodisha.
Hivi Mimi nikae kundi gani la wenye magari au???
Kila mtu na kipaumbele chake!Dahh!! Umeuchana ukweli wenyewe, gari si lolote linapokuja suala la usafiri wa ndani ya mji au mkoa ni sawa tu na kumiliki pikipiki, gharama zake ni kubwa sana halafu unakuta mmiliki ni ticha wa shule ya msingi lazima akili zimkae vzr, kabla ya kununua gari jenga kwanza nyumba ya kuishi na uwe na biashara iliyonyooka.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Huna gari mkuu
Tuko pamoj
There are some basic priorities though!!Kila mtu na kipaumbele chake!
Hhahaaa, hiyo plate no. Yake sio DDD ni T[emoji188] AABT[emoji188] DDD
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Hhahaaa, hiyo plate no. Yake sio DDD ni T[emoji188] AAB
Hata mimi sina gari mkuu ila ninakifaa chenye matairi 4Hapa JF nadhani ni mimi na wewe tu ambao hatuna magari.
Utanyeshewa na mvua hadi ukome ......daladala zenyewe zinavuja hizi..Mm ndoto ni Nyumba sio gar nataka niitwe baba mwenye nyumba sio baba mwenye gari
Am impressed with the way you think and approached this thread!!Huu ndio ukweli mchungu sana ambao watu wengi wenye magari hawapendi kuusema na hawatausema mbele ya watu wasiokuwa na magari.