Tusio na magari tukutane hapa

Tusio na magari tukutane hapa

Njia rais apo nadhani chukua bajaji pasua njia y coca cola kule utatokezeamo huko escape 1, ila andaa 3000 kwenda, 10000 kuingia na yakutumia 50,000 itapendeza zaid
hii yote gharama ya nini?
Apande gari ashuke moroko atembee kwa miguu mpaka huko
 
acac32307c06cb2281921b02da3a6f2a.jpg
nakichanga nachanga na mimi one day nimiliki ndinga yangu
 
Back
Top Bottom