Tusio na Magari tukutane hapa

Je una gari au hauna??


  • Total voters
    116
Nawakumbusha tu Team kikubwa uhai tunaendelea kuwaburuza vibaya sana team sina gari na team nina gari mpaka sasa tunaongoza kwa 50% endeleeni kupiga kura wadau huku tukisubili ugari kutoka kwa dada kwa hisani ya shemeji
 
Sisi tunaovimbia IST za mishangazi tunakutana wapi?
 
hatumtaki raisi asiye na gari miaka hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…