Tusio na Magari tukutane hapa

Tusio na Magari tukutane hapa

Je una gari au hauna??

  • Total voters
    116
Serikali yetu ndiyo imesababisha watanzania tusiwe na magari.kodi lukuki na zisizo na tija yeyote.Mtu ananunua gari nje Kwa shilingi milioni kumi ikifika hapa nyumbani unalupishwa Tena na TRA milioni kumi nyingine.Kwa maisha ya Sasa gari ni sehemu ya mahitaji muhimu ya binadamu
Hata waki toa huo ushuru, hatu wezi kupata😁🤣
 
Mkuu hivi hilo shati la kijani, una livuaga kweli😂😂
gentleman,
maombi yangu ya kinabii kwenu ndugu zangu wadau wa JF, yako pale pale,

mwaka huu 2025 ni kuhakikisha tunaitokomeza kabisa hiyo habara ya eti Sina gari na hiyo nyingine ya eti Bora uhai!

No,
hilo ni pepo, na lazima tulikemee. Lazima kila mtu awe na uhai, lakini pia ni lazima amiliki gari bila ushirikina 🐒
 
Wewe kafue hilo shati la kijani, Kama vipi kaimbe taarab huko😁
 
Wewe kafue hilo shati la kijani, Kama vipi kaimbe taarab huko😁
na tafadhali sana ndugu mwenyekiti wa wadau wasio na magari JF,

katika majumuisho ya kikao hiki,
lazima mtoke na azimio kwamba by January next year 2026, mkutane pale kebys hotel bamaga, sikuizi imeborshwa na kubalilishwa jina na ina huduma nzuri zaidi, kila moja wenu akiwa na muujiza wa gari lake alilopokea baada ya kumuombea humu jukwaani pale juu,

Sadaka si muhimu sana,
ila anaweza kuja nayo kama shukran.
Apostle nitakuwepo kwa njia ya zoom na namba ya kutuma sadaka zenu za shukran nitaviweka wazi wakati muafaka.

sawa mwenyekiti?
waeleze na wadau 🐒
 
Una.
FB_IMG_17366231209104241.jpg
 
chukua hiyo point gentleman,
itasaidia kupunguza kundi kubwa sana za wadau wa JF wasio na magari pamoja na wale wa bora uhai.

ni jambo la maana na la heshima sana ukawa na uhai lakini pia una gari.

mmeomba sana lift ndrugo zangu dah, muwage na aibu 🐒
Punguza upuuzi 😆
 
Punguza upuuzi 😆
sasa gentleman,
mmesoma wote shule na mwenzako, na wote mlikua mnapata D na F ya hesabu darasani,

sasa mwenzako ana gari,
ati wewe ndio mwenekiti wa wadau wa JF wasio na magari?

is this real fair?🤣

Mungu akubariki, afanikikishe kupokea muujiza wa gari lako jipya kabla ya mwaka huu haijaisha.

Kwa jina la baba mwana na roho mtakatifu Aimen,

Pokea Muujiza wako kwa kuitikia Aimen 🐒
 
Unatuchora mzee, wewe unamiliki mikwaju mikali kabisa.

Kwa tetesi ni kua wewe na Poor Brain ndo wenye ndinga kali jf

Vincenzo Jr nilimshauri asiuze gari yake, ila ndo ivo kamuuzia jamaa wa Dubai, imagine used inatoka bongo kwenda Dubenga oya sio poa
Hata godoro Sina, una dhani kuwa raisi wa ma jobless mchezo😂🤣
 
Back
Top Bottom