na tafadhali sana ndugu mwenyekiti wa wadau wasio na magari JF,
katika majumuisho ya kikao hiki,
lazima mtoke na azimio kwamba by January next year 2026, mkutane pale kebys hotel bamaga, sikuizi imeborshwa na kubalilishwa jina na ina huduma nzuri zaidi, kila moja wenu akiwa na muujiza wa gari lake alilopokea baada ya kumuombea humu jukwaani pale juu,
Sadaka si muhimu sana,
ila anaweza kuja nayo kama shukran.
Apostle nitakuwepo kwa njia ya zoom na namba ya kutuma sadaka zenu za shukran nitaviweka wazi wakati muafaka.
sawa mwenyekiti?
waeleze na wadau 🐒