Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 3,711
- 6,762
tuache kuji fariji madam, hata Kama tuta viacha ila Kikubwa Ume ishi kwa nafasi yakonina miliki moyo tu hivo ni vitu vya anasa kwani tutakufa tutaviacha
Ma jobless na michango wapi na wapi๐๐คMweka hazina Niko hapa.......
kikubwa uhaituache kuji fariki madam, hata Kama tuta viacha ila Kikubwa Ume ishi kwa nafasi yako
Lazima organization yetu iwe na uongozi michango tukijipataMa jobless na michango wapi na wapi๐๐ค
Mkuu ita kuwa muda wako wa kunywa vidonge Ume fika ๐๐Kwani kile kigezo cha kwamba ukitaka kujiunga JF lazima password uweke namba yako ya gari kilifutwa? ๐
Nijuavyo mimi huwezi kujiunga JF kama huna gari.. au mi ndio sielewi?
Haya ndio maoni ya kusadikika๐๐Lazima organization yetu iwe na uongozi michango tukijipata
Naamkikubwa uhai
Niamini mzee ๐Haya ndio maoni ya kusadikika๐๐
hamnaga michongo kutoka kwa majobless , zaidi ya location za waganga๐ฅฑ๐ฅฑ๐ค๐ฎ๐ฎMajobless tupeane michongo
Kanuni ya ma jobles, never trust anyone ๐๐Niamini mzee ๐
hata hao waganga tuna watapeli๐๐hamnaga michongo kutoka kwa majobless , zaidi ya location za waganga๐ฅฑ๐ฅฑ๐ค๐ฎ๐ฎ
Hilo Lina eleweka mzee......Kanuni ya ma jobles, never trust anyone ๐๐
Mimi kwangu goma liko between,Sina gari ila namiliki fisi kama Half american ,mkuu.Satoh Hirosh wewe si mjumbe wa chama chetu??
Hata mimi nilijua hivo mkuu๐๐๐. Hawa watakuwa walijiunga kwa connection.Kwani kile kigezo cha kwamba ukitaka kujiunga JF lazima password uweke namba yako ya gari kilifutwa? ๐
Nijuavyo mimi huwezi kujiunga JF kama huna gari.. au mi ndio sielewi?
Half american ana ringia fisi wa kwao mzilakende.Mimi kwangu goma liko between,Sina gari ila namiliki fisi kama Half american ,mkuu.