Konda wa bajaj
JF-Expert Member
- Sep 10, 2024
- 604
- 918
Mbowe type.Yaani hata hauja sajikiwa, una taka uenyekiti 😆😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbowe type.Yaani hata hauja sajikiwa, una taka uenyekiti 😆😂
subiri 2070 uta pewa nafasiMbowe type.
Ramani itoke wapi kwa majobless 😀Tupo mkuu tupe ramani
Ramani ya ma jobless ilisha potea 😂😆Tupo mkuu tupe ramani
😃😃😃Mkuu mbona tunakatishana Tamaa tena hapaRamani ya ma jobless ilisha potea 😂😆
Haturuhusu matumaini hewa mkuu😆😃😃😃Mkuu mbona tunakatishana Tamaa tena hapa
Nina miliki makende tuHuyu dokta aliyeweka mbupu badala ya moyo aletwe hapa anaharibu ugali wetu
Uko vizuri mkuu 😀Nina miliki makende tu
Tembea kifua mbere mkuu.. hicho unachomiliki zaidi ya nusu ya binadamu wote duniani hawana 😀Nina miliki makende tu
Uko vizuri mkuu 😀
Dah Sasa thamani ni nini 🤣huku pesa hatunaTembea kifua mbere mkuu.. hicho unachomiliki zaidi ya nusu ya binadamu wote duniani hawana 😀
Njoo mataili ninayoNipo hapa sina hata baiskeli ila muhimu uhai tu😃
Pesa za nini bana ukishakua na balls inatosha 😀Dah Sasa thamani ni nini 🤣huku pesa hatuna
Kuna malipo mkuu? Nataka nijitose ila nipe kabisa terms and conditions 😀Mdada anayetaka gari
😀😀 nipe niyauze nipate kifuta machozi😀Njoo mataili ninayo
Hivi kuwa mpenzi ni terms?Kuna malipo mkuu? Nataka nijitose ila nipe kabisa terms and conditions 😀