Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
UMASIKINI SIO SIFA WALA SIO KITU CHA KUJIVUNIA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nani mganga wake sio tapeli sasa tuone tunafanyajehamnaga michongo kutoka kwa majobless , zaidi ya location za waganga🥱🥱🤒🚮🚮
Connection uchwara😆😂Hata mimi nilijua hivo mkuu😂😂😂. Hawa watakuwa walijiunga kwa connection.
Toa ujinga wakoUMASIKINI SIO SIFA WALA SIO KITU CHA KUJIVUNIA
Sawa natoa kumradhiToa ujinga wako
Uki taka matajiri mtafute mshamba_hachekwi, ana weza kukupa ushauri😆Sawa natoa kumradhi
Mkuu kapime malaria😂Hata mimi nilijua hivo mkuu😂😂😂. Hawa watakuwa walijiunga kwa connection.
acha matusi, kwa sisi ma jobless hiyo ni FerrariVitz sio gari.Je'mmiliki wake anaruhusiwa kujiunga kwenye chama cha wasio na magari?
Kweli Umaskini sio kitu Cha kujivunia kabisa!Sawa natoa kumradhi
kuutambua ni njia Moja wapo ya ushindiKweli Umaskini sio kitu Cha kujivunia kabisa!
Chapisha t shirt ya jobless pro max 😂Fanya mpango sasa tupate na usajili kabisa chamani
Raisi Intelligent businessman
👆kuutambua ni njia Moja wapo ya ushindi
acha mizinguo bhana😆Team kikubwa uhai tupo hapa😂😂😂😂😂
Yaani hata hauja sajiliwa, una taka uenyekiti 😆😂Naomba uwenyekiti ili tupate katiba iliyo bora alafu nitakua kama Mbowe mpaka munizomee ndio nitafikiria kugombea tena.