Tusio na Magari tukutane hapa

Tusio na Magari tukutane hapa

Je una gari au hauna??


  • Total voters
    116
Ngoja nipaki gari yangu Maclaren rangi nyekundu niliyoagiza 0 kilometre kutoka USA na sikutaka ipande meli imepanda ndege Antonov ikiwa peke yake rubani mwenyewe alishangaa ila nikamwambia tulia pesa ipo ni vitu vidogo hivyo
Chai, mc laren hakuna zero kilometer mzee.
Last manufacture ili kuwa 2015, sijui pi model
 
Back
Top Bottom