makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Mie kikubwa UHAI tu. 😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
usaliti ni kosa kubwa, maana siku uki rejea uta Lia😆🤣Basi nimejitoa🏃🏾♀️🏃🏾♀️🏃🏾♀️
Dah comrade, acha kutupa moyo ma jobless pro max 😂Mie kikubwa UHAI tu. 😂
Aisee wasaliti mme Anza kitambo, haya. Kosa la raisi wa ma jobless ni nini😂😆Nimechelewa ila nimefika.
Nimekuja kuleta pingamizi Rais hatufai naomba mdahalo wa wazi wa kumpinga.
Sasa mkuu peponi na motoni haupo, una taka uende wapi😂😆Mimi sina ila sitaki kujiharalishia hicho chama chenu
Safi Sana, raisi wa ma jobless pro max ana matatizo Kama buku 😂🤣Mnaovimba na magari ya wazazi wenu mheshimuni president wa majobless
OKW BOBAN SUNZU una itwa huku, ewe ceo wa metl😂Hivi OKW BOBAN SUNZU ndo Mudi Dewji kweli kama wanavyodai au ni propaganda tu.
tuna taka tutambuane, ili wanao jichanganya na sisi tuwa tambue.Mnataka kuandamana?
Aisee kuna muda inabidi ujikubali tu, inasaidia kupunguza stress, maisha ni sasa usisahau kufurahia sasa huku unaendelea na mapambano
Salimia kwanza, isije Ika onekana wote wahuni😂🤣Kijana,ulipotea wapi?
Habari yako?Salimia kwanza, isije Ika onekana wote wahuni😂🤣
Safi kabisa.Habari yako?
Heri ya mwaka mpya?
Familia haijambo?
Dada hajambo? Haniulizii?
Safi kabisa kwa kuendelea salamaSafi kabisa.
Nashukuru naendelea Safi.
Haijambo kabisa, nili kuwa nao katika holiday ya safari hii.
Dada means demu wangu au??