YaBabu Ndefu
Member
- Nov 23, 2017
- 31
- 24
sasa wewe unatukusanya hapa tusio na michepuko alafu wewe mwenyewe mleta uzi unasema huwezi kukaa bila papuchi ya pembeni
SIKUELEWI
SIKUELEWI
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mtaolewa
Hapana, sio lazima. Now wife ni preg. Ila mbona sichepuki.Mke akiwa mjamzito lazma uchepuke poooh
MWANAUME ASIE NA MCHEPUKO BASI NA WAZI ANAPIGA PUNYETO.
Thibitisha!MWANAUME ASIE NA MCHEPUKO BASI NA WAZI ANAPIGA PUNYETO.
AchaMe nataka namna ya kuhacha
Ni kusonga ugaliHivi kuchepuka ni kufanyaje?
Kwahiyo hapa Unataka kusemaje?Kwamba kuoa na kuolewa ni haki ya msingi ya binadamu asiye na tatizo la kiafya ama nadhiri ya kidini na kwamba wanawake kwa takwimu zisizo rasmi wapo mara tano kulinganisha na wanaume kwa uwiano wa dunia, sasa ikiwa kila mwanamume ataamua kuoa mwanamke mmoja na akawa na msimamo wa kutochepuka huoni kuna watakaokosa haki za msingi?
USULI : Isaya 4:1
1Wakati huo wanawake saba watamvamia mwanamume mmoja na kumwambia, “Chakula na mavazi tutajitafutia wenyewe, lakini wewe utuondolee aibu yetu, uturuhusu tuitwe kwa jina lako.”
Kwamba pamoja na soko la mbaazi kushuka ila tusiache kupeleka ng'ombe serikali za mtaa wakapigwe chapa kwa kuwa serikali ya uganda na ya hapa kwetu imeshakubaliana bomba la mafuta lipitie kwenye reli ya kiwango cha lami!Kwahiyo hapa Unataka kusemaje?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwamba pamoja na soko la mbaazi kushuka ila tusiache kupeleka ng'ombe serikali za mtaa wakapigwe chapa kwa kuwa serikali ya uganda na ya hapa kwetu imeshakubaliana bomba la mafuta lipitie kwenye reli ya kiwango cha lami!
Unanicheka siyo? Si ulitaka ufafanuzi?[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Dah...pia aidha vyuma vimekaza sana au misuli haikazi sawasawa[emoji87] [emoji41] [emoji12]MWANAUME ASIE NA MCHEPUKO BASI NA WAZI ANAPIGA PUNYETO.
Isaya 4 ngoja nikasomeKwamba kuoa na kuolewa ni haki ya msingi ya binadamu asiye na tatizo la kiafya ama nadhiri ya kidini na kwamba wanawake kwa takwimu zisizo rasmi wapo mara tano kulinganisha na wanaume kwa uwiano wa dunia, sasa ikiwa kila mwanamume ataamua kuoa mwanamke mmoja na akawa na msimamo wa kutochepuka huoni kuna watakaokosa haki za msingi?
USULI : Isaya 4:1
1Wakati huo wanawake saba watamvamia mwanamume mmoja na kumwambia, “Chakula na mavazi tutajitafutia wenyewe, lakini wewe utuondolee aibu yetu, uturuhusu tuitwe kwa jina lako.”
Asante mkuuKwa maisha haya haitakiwi kuitatain hii tabia ya kijinga ya kuchepuka la sivyo dhiki , njaa ,ugomvi usio na kichwa wala miguu kwenye familia zetu hautaisha
Nataka mniambie mnawezaje ?sasa wewe unatukusanya hapa tusio na michepuko alafu wewe mwenyewe mleta uzi unasema huwezi kukaa bila papuchi ya pembeni
SIKUELEWI
Bado sana ww me nilikaa tangu mwaka 2012 mpaka mwaka jana nilipo anza kwa kasi ya ajabu mpaka nashindwa elewa niliwezaje kaa kipindi chote hicho nashindwa kuachaHapana, sio lazima. Now wife ni preg. Ila mbona sichepuki.
Kuchepuka ni maamuzi tu. Ukiamua kwa moyo thabiti basi hilo ni jambo dogo sana btw nina miaka 2 sijachepuka japo napitia wakati mgumu na mademu waanvyonifukuziaga
Ila ulikuwa unapiga nyeto ya hatari kwa siku mara nneBado sana ww me nilikaa tangu mwaka 2012 mpaka mwaka jana nilipo anza kwa kasi ya ajabu mpaka nashindwa elewa niliwezaje kaa kipindi chote hicho nashindwa kuacha
Nilipiga wife alipo safiriIla ulikuwa unapiga nyeto ya hatari kwa siku mara nne