Tusio na michepuko tukutane hapa

Tusio na michepuko tukutane hapa

sasa wewe unatukusanya hapa tusio na michepuko alafu wewe mwenyewe mleta uzi unasema huwezi kukaa bila papuchi ya pembeni

SIKUELEWI
 
Mke akiwa mjamzito lazma uchepuke poooh
Hapana, sio lazima. Now wife ni preg. Ila mbona sichepuki.

Kuchepuka ni maamuzi tu. Ukiamua kwa moyo thabiti basi hilo ni jambo dogo sana btw nina miaka 2 sijachepuka japo napitia wakati mgumu na mademu waanvyonifukuziaga
 
Kwamba kuoa na kuolewa ni haki ya msingi ya binadamu asiye na tatizo la kiafya ama nadhiri ya kidini na kwamba wanawake kwa takwimu zisizo rasmi wapo mara tano kulinganisha na wanaume kwa uwiano wa dunia, sasa ikiwa kila mwanamume ataamua kuoa mwanamke mmoja na akawa na msimamo wa kutochepuka huoni kuna watakaokosa haki za msingi?

USULI : Isaya 4:1
1Wakati huo wanawake saba watamvamia mwanamume mmoja na kumwambia, “Chakula na mavazi tutajitafutia wenyewe, lakini wewe utuondolee aibu yetu, uturuhusu tuitwe kwa jina lako.”
Kwahiyo hapa Unataka kusemaje?
 
Kwahiyo hapa Unataka kusemaje?
Kwamba pamoja na soko la mbaazi kushuka ila tusiache kupeleka ng'ombe serikali za mtaa wakapigwe chapa kwa kuwa serikali ya uganda na ya hapa kwetu imeshakubaliana bomba la mafuta lipitie kwenye reli ya kiwango cha lami!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kwamba kuoa na kuolewa ni haki ya msingi ya binadamu asiye na tatizo la kiafya ama nadhiri ya kidini na kwamba wanawake kwa takwimu zisizo rasmi wapo mara tano kulinganisha na wanaume kwa uwiano wa dunia, sasa ikiwa kila mwanamume ataamua kuoa mwanamke mmoja na akawa na msimamo wa kutochepuka huoni kuna watakaokosa haki za msingi?

USULI : Isaya 4:1
1Wakati huo wanawake saba watamvamia mwanamume mmoja na kumwambia, “Chakula na mavazi tutajitafutia wenyewe, lakini wewe utuondolee aibu yetu, uturuhusu tuitwe kwa jina lako.”
Isaya 4 ngoja nikasome
 
Kwa maisha haya haitakiwi kuitatain hii tabia ya kijinga ya kuchepuka la sivyo dhiki , njaa ,ugomvi usio na kichwa wala miguu kwenye familia zetu hautaisha
Asante mkuu
 
Hapana, sio lazima. Now wife ni preg. Ila mbona sichepuki.

Kuchepuka ni maamuzi tu. Ukiamua kwa moyo thabiti basi hilo ni jambo dogo sana btw nina miaka 2 sijachepuka japo napitia wakati mgumu na mademu waanvyonifukuziaga
Bado sana ww me nilikaa tangu mwaka 2012 mpaka mwaka jana nilipo anza kwa kasi ya ajabu mpaka nashindwa elewa niliwezaje kaa kipindi chote hicho nashindwa kuacha
 
Kuto kuchepuka hasa wanaume ni uchoyo ulio tukuka kwasababu wanawake wengine wengi hawana wanaume hivyo pichimi zao huwa zina hitaji kukunwa
 
Bado sana ww me nilikaa tangu mwaka 2012 mpaka mwaka jana nilipo anza kwa kasi ya ajabu mpaka nashindwa elewa niliwezaje kaa kipindi chote hicho nashindwa kuacha
Ila ulikuwa unapiga nyeto ya hatari kwa siku mara nne
 
Back
Top Bottom