Tusioe wanawake vilaza; Hakuna kitu kinauma kwa mzazi kama mtoto wako kuwa wa mwisho darasani

Tusioe wanawake vilaza; Hakuna kitu kinauma kwa mzazi kama mtoto wako kuwa wa mwisho darasani

Mdukuzii

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2022
Posts
2,552
Reaction score
6,422
Pata picha umesafiri umeacha familia yako Junior anaumwa, umefika ulipokwenda unampigia simu mkeo kujua vipiimo vinasemaje

Mimi: Habari mke wangu doctor kasemaje
Yeye; Kasema mtoto ana YUTIYAI na AMWIBA
Mimi; nisomee dose yake
Yeye; mwayego hapa maandishi siyaoni vizuri kuna herufi kama sio nne basi itakuwa sita.(jiandae mtoto kuwa overdosed)

Hapo junior katoka kuburuza mkia darasani, kama ni ligi anasubiri play off.

Mtoto huchukua asilimia 75 ya akili za mama yake, utapekeka twisheni zote kama mke ni kilaza Junior atakumalizia ada tu.

Mwanamke kilaza ni mzigo kwa mumewe
 
Sijaoa tu kilaza, hata kama angekuwa hajui kusoma kabisa wala sio kesi.

Kuna vitu vinafanyika, ukishamjua inakuwa ni sehemu ya utani..

Kama hivyo hapo unamtania nisomee, anakujibu, "mwenzangu we kusoma nimejuliia wapi, ngoja niikutumie watsap 😂"

Ndio mapenzi hayo.
 
Ila vilaza wana raha yake unamdanganya vitu vingine macho makavu kabisa
 
Sayansi huwa inakataa kabisa kwamba mtoto huwa anachukua akili nyingi kwa mama ila hili binafsi nalikubali. Mwanaume anachangia kiasi kidogo cha akili ya mtoto, mke kilaza huleta watoto vilaza.

Ila tujue tofauti ya kilaza na ambaye hakwenda shule
 
Bibi zetu hawakusoma ila haimaanishi walikuwa vilaxa ,uko sahihi
 
Back
Top Bottom