Tusioe wanawake vilaza; Hakuna kitu kinauma kwa mzazi kama mtoto wako kuwa wa mwisho darasani

Nature vs nurture.

Nani kilaza zaidi mkeo kilaza au wewe uliyeoa kilaza?
 
Mama yake kutokujua kusoma na kuandika haimaanishi hana akili,huenda wazazi hawakumpeleka shule kwani we unajua kusoma na kuandika kichina?ila hatuwezi kukuita kilaza
 
Kuna kitu hatijaelewana,iko hivi bibi zetu hawakusoma ila walijua dalili na majina ya ugonjwa na dawa zipi za kienyeji watumie kutibu watoto wao,ukilaza ni kushindwa kukabili mazingira au kuwa na uelewa mdogo sana


Basi mkuu badilisha topic, na useme mwanamke asiyekwenda shule hapo nitakuelewa kwani mfano wa maswali yako kwa huyo mkeo kilaza hata huyo Bibi yako asingeweza kuyajibu hivyo usimlaumu mkeo kilaza huku umuache bibi yako ambaye naye ni kilaza kulingana na maswali yako. Yaani ni maswali yako ndio determinant kwamba hata huyo Bibi yako naye ni kilaza kwani asingeweza kujibu hayo maswali.
 
Kuna tofauti kubwa sana kati ya
Elimu ya darasani
Na elimu dunia

Mwanamke anaweza shika mkia darasani lakini akawa mwanamke mwenye manufaa mengi kwenye familia

Mkuu wanamke wengi wa 80s hawajasoma lakini ndio tunaowa appreciate sana kuliko hawa waliosoma
Mwanaume ukitaka uteseke oa mwanamke msomi amekulia jijini
Mwanamke akiwa na kitu fulani houta dharau automatically
 
Hiyo kuandika UTI kama yuutiai nimekumbuka mbali sana!

Kuna dada mmoja nilikuwa namuona kichwa kinoma kiasi hata kumsemesha mtu unaweza kumgwaya kuna kipindi kidogo akapotea nikasema siyo vibaya kumjulia hali,nikam-text kumuuliza akaniambia anaumwa nikamuuliza nini zaidi?akaniandikia “nina UUTIAI kali hapa ndo natumia tumia dawa”,nakumbuka wala sikumjibu tena.
 
Sasa waolewa na nani jamni? Ila sii ukumbuke mwanamke kilaza hanyimwi vyote, tako matiti na kufinyia kwa ndani vyote wanapewa wao. Chaguo ni lako sasa mtoto mwenye akili au ufurahie mbususu tamu
 
Mungu akiachia uwe na vilaza hata uwe mmeowana genius watakuwa vilaza. Jambo moja nina amini Mungu ndie anatoa akili mengine utashi wa mwanadam
 
Sasa hao sii ndio wazuri kuwalubuni uwageggede mzeya. Wee unataka ugegegdw hawa wa jf magreat thinkers ambao mwisho wa siku waanze kukupimia utamu
 

Hukutumia fursa?
 
Mazingira ya bibi zetu hakuhitaji kujua kusoma wala kuandika ,bali kukariri kichwani.na walifanikiwa hilo
 
Da nimecheka sana
 

Nimecheka nipo hapa kwenye basi natokea zanzibar
 
Uko sahihi kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…