Tusiokunywa Pombe Njooni Tuelezane Vinywaji Vya Kuagiza Tukiwa Bar

2018 pombe nimeshaipiga teke kwa upande wangu naiona haina faida kwa sasa japo nateseka sana katika kipindi hichi kifupi lakini najipa moyo nitashinda tu ya ni mwendo wa ceres juice mpaka nifanane nazo
 
Nleterewa Nganengo, njoo tushauriane vinywaji mbadala vya balimi[emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Natoa ofa ya bia leo kwa watu 5 nipo sinza karibuni
 
Endelea na maji tu, kwanini uishi kwa kufurahisha watu ambao wanaishi kwa kujifurahisha wao!!!
 
Kuna watu huwa wanahisi kukaa bar muda mrefu ni sifa.
 
2018 pombe nimeshaipiga teke kwa upande wangu naiona haina faida kwa sasa japo nateseka sana katika kipindi hichi kifupi lakini najipa moyo nitashinda tu ya ni mwendo wa ceres juice mpaka nifanane nazo
I used to drink savannah...but na Mimi huu mwaka 2018 nimepiga chini sitaki aina yeyote ya alcohol hata kama ina 1% sitaki..na hao mashost chapombe nimewapiga chini

Mambo ya kujiendekeza tu, eti pombe mtu huwezi acha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…