Tusiokunywa Pombe Njooni Tuelezane Vinywaji Vya Kuagiza Tukiwa Bar

Mbona nimesoma sana huu uzi lakini haunisaidii chochote?
 
Chai ya rangi na mtindi.
 
Utakua mlevi mkuu, hapa ni story za vinywaji laini. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mkuu sijawah kutumia kilevi, nataman pia nivijue vinywaji vya non alcohol ili nikienda bar hata maybe kuchek game nivitumie.
 
Bar sio maeneo ya walevi. Nani mwenye definition halisi ya neno bar?
 
Mkuu sijawah kutumia kilevi, nataman pia nivijue vinywaji vya non alcohol ili nikienda bar hata maybe kuchek game nivitumie.
Tumia maji mkuu, ila sasa yanchosha unaweza kufika bar kiu ya maji huna.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…