Tusiokunywa Pombe Njooni Tuelezane Vinywaji Vya Kuagiza Tukiwa Bar

Tusiokunywa Pombe Njooni Tuelezane Vinywaji Vya Kuagiza Tukiwa Bar

Na ilikuwa mara ya kwanza ujue, huwa natumiaga redbull mie.... Ila ule mkopo ni mkubwa mnooo labda ndo maana!!
Ahaha, lazima ule mkopo ulikuzidi nguvu au mwili ulizikataa tu,binafsi Redbull na Bavaria zimenishinda kabisa nikinywa najisikia hovyo kabisa.
 
Tuwe makini sana na vnyw cz kuna baadh yake unashauriwa kunyw kmoja tu.
Better upige maji ya kilimanjaro kwny glass hakka no one atajua unapga maji
 
Mwanaume gani unaagiza juice ukiwa bar....!!
Kukaribisha nzi mezani tu!
Hahaha nimeyazoea haya maneno tangu nikiwa kindergarten! Ila pombe sitajaribu.
 
Nikienda kuangalia mpira bar. Soda yangu kubwa fanta orange take away.
Namuomba mungu asije ifanya pombe kuwa rafiki yangu
Nikiwa peke angu hua natumia soda.. Shida inakuja unapokua na marafiki halafu zianze kuwapanda topic yote unakua wewe tu na fanta yako.
 
Back
Top Bottom