Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,433
- 56,810
Ndizi choma na bata mkaango unakunywa au unakula?Wote hamjui dili ni ndizi choma na bata mkaango
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndizi choma na bata mkaango unakunywa au unakula?Wote hamjui dili ni ndizi choma na bata mkaango
Na ilikuwa mara ya kwanza ujue, huwa natumiaga redbull mie.... Ila ule mkopo ni mkubwa mnooo labda ndo maana!!Basi itakuwa hazikupendi tu
Ahaha, lazima ule mkopo ulikuzidi nguvu au mwili ulizikataa tu,binafsi Redbull na Bavaria zimenishinda kabisa nikinywa najisikia hovyo kabisa.Na ilikuwa mara ya kwanza ujue, huwa natumiaga redbull mie.... Ila ule mkopo ni mkubwa mnooo labda ndo maana!!
nioneshe tu !siku zingine kinywa kinagoma kbs kunywa alcoholNingekuonyesha namna ya kuzinywa, step by step ni simple sana, usinywe 1 siku nyingine
Unakula unashushia na Kilimanjaro H20Ndizi choma na bata mkaango unakunywa au unakula?
Hapo sawa mkuuUnakula unashushia na Kilimanjaro H20
Unakula unashushia na Kilimanjaro H20Ndizi choma na bata mkaango unakunywa au unakula?
Redbull ni nzuri mnoo, Bavaria sijawahi hata ionja!!!Ahaha, lazima ule mkopo ulikuzidi nguvu au mwili ulizikataa tu,binafsi Redbull na Bavaria zimenishinda kabisa nikinywa najisikia hovyo kabisa.
Nikiwa peke angu hua natumia soda.. Shida inakuja unapokua na marafiki halafu zianze kuwapanda topic yote unakua wewe tu na fanta yako.Nikienda kuangalia mpira bar. Soda yangu kubwa fanta orange take away.
Namuomba mungu asije ifanya pombe kuwa rafiki yangu