Tusiokunywa Pombe Njooni Tuelezane Vinywaji Vya Kuagiza Tukiwa Bar

Tusiokunywa Pombe Njooni Tuelezane Vinywaji Vya Kuagiza Tukiwa Bar

Mimi huwa natumia
1. Maji
2. Grand malt.
3. Schweppes Novida
109512cb6888baf4d0de8c57e399b0a6.jpg
Embu anndika hiyo ya tatu inavyotamkwa kwa kiswahili..
 
Kuna siku nilikunywa nkalazwa aki... Sitarudia kungfu milele

Cc@Shunie
duu mkuu ulilazwa ulizidisha nyingi au vp,m naiskiaga hii kungfuu nadhaniaga ni kama enegy drink nyngne..ikoje kwani mkuu inakilevi au...
 
Napendelea sana ceres za kopo. .kitu zabibu iko poa sana asee
 
Ina nguvu mnoo, halafu nilikunywa kwa mara ya kwanza ujue
duu mkuu bora umeni alert nilikua nataka n jaribu hiki kinywaji matangazo yake yamenihamasisha sana...,,kumbe iko na power ivo hadi unaeza ukazima.
 
Sio mpenzi wa vitu vyenye sukari sukari kama soda,malta na hizo pia.

Sasa mamii unataka nami nilazwe?[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]
ila mkuu bia zina natural sugar nyingi mno ndani yake...,ile tam tam ya soda ni sukari ya miwa t applied in the process of making...
 
Washikaji huwa wananiita mzee wa kujaza nzi, ni mwendo wa soda, juicekubwa au GlandMalt, hasa Gland Malt ndo saaaana.
 
Back
Top Bottom