Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Mkuu wa Kanisa la Roma Duniani alikuwa nchini Sudani. Katika kuimiza Amani aliongoa Kwa uchungu sana. Akuishia kuongea Tu Bali akachukua jukumu la kuwapigia magoti kiongozi mmoja mmoja.
Pamoja na hayo yote bado hatuoni wakiwa serious kutatua changamoto zao. Wakati papa natokwa machozi wao wala kama vile awajasikia. Tujiulize hawa watu wenye roho ngumu vile hatunao? Kama tunao, siku wakiruhisiwa kutuongoza tutabaki salama na upole wetu?
Tuliombee Taifa lizidi kuwa na viongozi WA Aina ya Mama Samia, akina Mbowe na wengine wa Kariba hiyo. Viongozi ambao kwao wao wananchi ni Jambo la msingi kuliko madaraka.
Tuombe sana