Tusiopenda Kufichwa mambo hatimaye kisiri kabisa tumeshajua kwanini Kocha Sven Vandebroek Kasepa ghafla

Ni kweli mkuu, Ila kumbuka kipindi hicho group stages ilikuwa ni robo finali maana ilikuwa ni nane bora na magroup mawili siyo hii ya kwenu ya 16 bora na magroup manne. Kama nimekosea naomba kusahihishwa mkuu.
wikipedia hii inaniambia formart ya sasa ilianza 1997 so ya 98 ilkuwa second edition
 
hakukuwa n mechi nyingi za awali kama sasa maana ukisema hivyo usisahau basi simba nusu fainal mwaka 1974 klabu bingwa ikatolewa na mehala al kubra,kufika robo fainali ilkuwa ni mserereko tu siyo kama sasa
Wewe inaonyesha huna kumbukumbu vizuri. Kipindi kile ili ufike group stages zilichezwa mechi nyingi tofauti na Sasa mechi 4 tu tayari group stages. Unacheza na timu mbili tu tayari ukifanikwa kuzipiga huko group stages
 
Wewe inaonyesha huna kumbukumbu vizuri. Kipindi kile ili ufike group stages zilichezwa mechi nyingi tofauti na Sasa mechi 4 tu tayari group stages. Unacheza na timu mbili tu tayari ukifanikwa kuzipiga huko group stages
yanga alicheza na team mbili tu ,rayon ya rwanda na coffee ya ethiopia akakutana na yaliyomkuta,umeelewa sasa tofauti boss wangu?sasa hivi ukicheza na team mbili unajikuta 16 bora unagonga wee halfu kncok out tena
 
View attachment 1671794wikipedia hii inaniambia formart ya sasa ilianza 1997 so ya 98 ilkuwa second edition
Asante mkuu ulicholeta hapa kinadhibitisha nilichoandika ni sahihi. Kipindi kile ili ufike group stages ilitskiwa uchezee mechi sita. Preliminary stage, first round, second round ndiyo ufike group stages. Nowday unacheza preliminary stage, first round and then group stages, you can see the difference.
 
mzee teams zilkuwa 52 tu leo kuna teams 64 ..na yanga alianzia round ya kwanza siyo ya awali,rayon na coffe ndiyo walianza awali si ufungue link hiyo uone mwenyewe yanga alicheza mechio mbili tu akajikuta kwenye makundi,link ipo bado unabisha
 

Attachments

  • Screen Shot 2021-01-08 at 2.51.38 PM.png
    29.9 KB · Views: 1
Yanga mna assume tofauti, hakuna sababu hta moja uliyotaja, tuachie simba yetu
 
NA HAIKUITWA ROBO FAINALI DESPITE WEWE KUONA NI TEAMS 8 ZIKO HAPA ILIKUWA NI WEIRD FORMAT SANA SABABU MSHINDI WA KWANZA WA KILA KUNDI ALIENDA MOJA KWA MOJA FAINALI NDIPO MIMOSAH WAKACHUKUA KOMBE....HIZO TEAMS NANE ZILIITWA ZIKO GROUP STAGE SIYO ROBO FINAL
 
kama unataka linganisha format ya 1998 ya teams 8 n aile ya 2018 ya teams 8 ni kichekesho,hiyo ya zamani mshindi wa group A na wa Group B waliingia fainali moja kwa moja hii ya simba ya mwaka juzi ilibidi watu wapite kwanza nusu fainali....
 
Ni sahihi unachosema, lakini mkicheza mashindano zikiwa timu zaidi ya hamsini na finally zikabaki only timu nane tu, maana yake si ndiyo nane bora mkuu?
 
Ni sahihi unachosema, lakini mkicheza mashindano zikiwa timu zaidi ya hamsini na finally zikabaki only timu nane tu, maana yake si ndiyo nane bora mkuu?
siyo robo fainali sasa ndipo tunapobishana ndugu yangu,kufika robo ya sasa inabidi ucheze mechi 10,kama hiyo ingekuwa robo ni kituko yanga alifika nane bora kwa mechi nne angeanzia preliminary angefika kwa mechi sita ...nane bora ya sasa ukianzia preliminary unapiga mechi nne kama simba kwa sasa then makundi unapiga mechi sita jumla 10 bado kwenye nane tena upite nne bora kuiona fainali kwa format ile ina maana yanga haikuwa mbali na fainali
 
All in all set up ya mashindano ya CAF kwa ngazi ya vilabu haiwezi kutoa a competent team ukilinganiaha na mfumo wa UEFA champion, nadhani bado tuna safari ndefu kuwafikia wazungu aisee.
 
4. Ameelekezwa kwenye kila mechi ya simba anywe damu ya paka mweusi, amekataa
 
Siko hapa JF Kujibizana na Wapumbavu tafadhali. Aliyeniambia na Kunihakikishia hili kwa 99% ni sehemu kamili ya Simba SC. Bishaneni kwingine.
 
Siko hapa JF Kujibizana na Wapumbavu tafadhali. Aliyeniambia na Kunihakikishia hili kwa 99% ni sehemu kamili ya Simba SC. Bishaneni kwingine
 
Yeye ni muajiriwa hivyo alitakiwa atimize maelekezo ya boss wake! Haiwezekani ukataka kufanya kila unachotaka wewe wakati anayekulipa mshahara hakitaki. Utakuwa ama mwendawazimu au umeichoka kazi au hujielewi
Kibongo bongo na njaa zetu unaendelea ila anayethamini kazi yake na hana njaa hawezi.
 
Bwalya hayupo Zambia wala si mzambia....inawezekana humjui tu unawezaje kujua uwezo wake?..huyo jamaa ni mkongo huyu wa Simba ndo mzambia..
Nikiwadharau hamna Akili mnakasirika. Nimesema alikuwa anamtaka Walter Bwalya aliyeko Al Ahly sasa au unadhani silijui hili? Acha Kuniboa Ok?
 
Siko hapa JF Kujibizana na Wapumbavu tafadhali. Aliyeniambia na Kunihakikishia hili kwa 99% ni sehemu kamili ya Simba SC. Bishaneni kwingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…