Tusiopenda Kufichwa mambo hatimaye kisiri kabisa tumeshajua kwanini Kocha Sven Vandebroek Kasepa ghafla

Umesahau la Waganga na Nyau kupewa thamani kuliko yeye.
 
Kocha ameondoka baada ya kupata offer bora kuliko alichokuwa anapata Simba. Haya mengine ni speculations tu.
 
Umesahau la Waganga na Nyau kupewa thamani kuliko yeye.
Hakuna cha waganga wala nini, siri imefichuka yule alikuwa shabiki wa Utopolo alilipwa hela nyingi kufanya lile tukio ili kuiharibia Simba. Yanga wana mbinu za kipumbavu sana
 
Bila kuweka Paka Mweusi hapo sitakuelewa!
 
Wewe inaonyesha huna kumbukumbu vizuri. Kipindi kile ili ufike group stages zilichezwa mechi nyingi tofauti na Sasa mechi 4 tu tayari group stages. Unacheza na timu mbili tu tayari ukifanikwa kuzipiga huko group stages
Stage zinapungua kutokana kiwango
 
Kocha ameondoka baada ya kupata offer bora kuliko alichokuwa anapata Simba. Haya mengine ni speculations tu.
Mbona hukuyasema haya tokea ile Juzi alipoondoka na umesubiri eti kapata Timu huko Morocco ndiyo unakuja na huu Unafiki wako hapa. Swine!
 
Nikiwadharau hamna Akili mnakasirika. Nimesema alikuwa anamtaka Walter Bwalya aliyeko Al Ahly sasa au unadhani silijui hili? Acha Kuniboa Ok?
Sawa hatuna akili basi nawe jifunze kuandika kiswahili ueleweke...Maana Bwalya si Mzambia ni Mkongo...acha kuhamisha magoli umeandika Mzambia hapo.
 
Kagere kazeeka na wala hakuna timu inamtaka hata kwa mkopo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…