Tusiopenda Kufichwa mambo hatimaye kisiri kabisa tumeshajua kwanini Kocha Sven Vandebroek Kasepa ghafla

Tuachane na utamaduni wa kubet kwenye kila kitu! Huyo kocha ana familia huko ulaya hivyo kaenda kutazama familia yake na wala si vinginevyo!

Suala la Mkude kuna kitu uongozi umeshakosea toka mwanzo na kumlea akaleleka kama alivyo! Mkude kacheza Simba sasa ni zaidi ya miaka 10, Hivyo ni jambo la ajabu leo akaonekana hana nidhamu wakati anaelekea kuzeekea Simba, isiwe kaanza kuwekewa mizengwe sababu Simba wamempa Thadeo Lwanga.

Kuhusu Morisoni sioni shida ya kuwepo kwake anaweza kucheza kama winga wa kushoto iwapo kocha atamtengenezea combination nzuri au atatengenezewa watu wanaoweza kucheza nae vizuri.

Medie Kagere bado ni bonge la straika hata mahasimu wetu wengi wanammezea, Simba wakirogwa wakamuacha mshambuliaji huyu kwa maneno ya mitandaoni itakuwa kama ilivyokuwa kwa Hamis Tambwe, maaa atadakwa na mahasimu wetu alafu huyohuyo ndio atakuwa silaha ya maangamizi kwa Simba.

Kagere atafutiwe tu formation nzuziri na ajengewe mahusiano mazuri na wenzake ili waendelee kumpa support na pasitokee wa kumuhujumu!
 
bro mambo haya yanachekesha sana kishingo kapata offer kubwa afrika ya kaskazini na ni karibu na ulaya hata kwa ndege kwa nini akatae?miluzi itapigwa mingi sana utopolo wana stress sana kilichobaki ni kuwacheka tu,ndani ya miaka 3 group stages mara mbili hawa utopolo fc mara ya mwisho ilikuwa 1998,wapuuze tu.TUSUBIRIE DRAW YA BIG BOYS WA AFRICA LEO SAA TISA
 
Yeye ni muajiriwa hivyo alitakiwa atimize maelekezo ya boss wake! haiwezekani ukataka kufanya kila unachotaka wewe wakati anayekulipa mshahara hakitaki. Utakuwa ama mwendawazimu au umeichoka kazi au hujielewi
Halafu huyohuyo boss anataka results kutoka kwangu au?
 
Yeye ni muajiriwa hivyo alitakiwa atimize maelekezo ya boss wake! haiwezekani ukataka kufanya kila unachotaka wewe wakati anayekulipa mshahara hakitaki. Utakuwa ama mwendawazimu au umeichoka kazi au hujielewi
Unamwajiri kwa mkataba na atafanyakazi kwa mujibu wa mkataba. Sasa mkimletea mambo mengine yasiyokuwa kwenye mkataba awezi kufanya.
 
Justin Shonga wa Afrika Kusini na Walter Bwalya wa Zambia ni zaidi yake pia maradufu sema tu wote hawa Simba SC ingevunja Kibubu cha 900M.
Bwalya hayupo Zambia wala si mzambia....inawezekana humjui tu unawezaje kujua uwezo wake?..huyo jamaa ni mkongo huyu wa Simba ndo mzambia..
 
nawakumbusha tu jamani ndugu zetu kwa mara ya kwanza na ya mwisho walipofika group stage hiki ndicho kilichotokea ilkuwa 1998,Nyerere alikuwa hai,mbwana samatta alikuwa hajaanza darasa la kwanza anafuta makamasi na viwiko huko mbagala.
utopolo group 1998.png
 
nawakumbusha tu jamani ndugu zetu kwa mara ya kwanza na ya mwisho walipofika group stage hiki ndicho kilichotokea ilkuwa 1998,Nyerere alikuwa hai,mbwana samatta alikuwa hajaanza darasa la kwanza anafuta makamasi na viwiko huko mbagala.View attachment 1671732
Ni kweli mkuu, Ila kumbuka kipindi hicho group stages ilikuwa ni robo finali maana ilikuwa ni nane bora na magroup mawili siyo hii ya kwenu ya 16 bora na magroup manne. Kama nimekosea naomba kusahihishwa mkuu.
 
hakukuwa n mechi nyingi za awali kama sasa maana ukisema hivyo usisahau basi simba nusu fainal mwaka 1974 klabu bingwa ikatolewa na mehala al kubra,kufika robo fainali ilkuwa ni mserereko tu siyo kama sasa
 
Mleta mada acha ubashiri. Kumbuka Sven amekuja Simba akiwa na CV ndogo ila imani waliyoweka viongozi ilikuwa kubwa. Katengeneza CV yake akiwa Simba kifupi Simba imemjenga. Kuondoka kwake either ameangalia mbali au ameona asichafue CV yake. Ameomba kuondoka mwenyewe.

Acha kupiga ramli ongea au andika.facts
 
Back
Top Bottom