Sina uwakika sna lakini nasikia ambao wapo vizuli ni group 0 -
Nakumbuka kipindi tupo kikosi pale 822 kj , katika watu 1000 ambao tulikuwa pale , wenye O - walikuwa ni watu watatu .
Captain ambaye pia alikuwa dactari pale , moja kwa moja aliwapa cheo cha kuwa karani , na kusema hawa watu ni muhimu sana maana wanaweza kuchangia damu katika magroup yoteee yani kinga ambazo magroup mengine (A B) wanazo wao wanazo zotee , hivyo kuwa poteza hawa ni kupoteza akiba ya damu ya kikosi hivyo kama jeshi lina wajibu wa kuwawalinda kwa gharama yoyote hata vitani hawapaswi kwenda hawa .
nilicheka sanaaa