MsemajiUkweli
JF-Expert Member
- Jul 5, 2012
- 13,185
- 24,055
Mkuu;Akisema Lissu,ni kosa,ila nyie sawa.
Mkuu;Unafiki ndio maana uwa namkubali Tundu Lissu uwa amngunyi maneno inapokuja kwenye kusimamia ukweli.
Tundu Lissu : Nyerere alizoea kuishi kwa uongo.
hakuna binadamu anaweza kuwa perfect 100% ilo halipo.
Nyerere ni babu yetu pamoja na kuwa mzalendo na mtu wa watu ila kuna vitu aliacha vikiwa vya ovyo ni swala la muungano fake na katiba ya chama kimoja kuiweka ndani ya vyama vingi.
Mkuu;Nyerere mzuri ni yule aliyekufa sio yule aliyekuwa hai.
Nimejiuliza maswali mengi baada ya kumewasikia wachangiaji karibu wote kwenye kusanyiko linaloitwa ‘’ kongamano la kumbukizi ya miaka 20 ya kifo cha mwalimu Julius Nyerere’’ wakitoa mchanganuo wa maisha ya Mwl. Nyerere kama raia wa kawaida na Kiongozi Mkuu wa Tanganyika na Tanzania.
Miaka 29 ni mingi sana tokea Mwalimu Nyerere alipoachia ngazi ya Mwenyekiti wa CCM Taifa na kuwa mwananchi wa kawaida. Hii ina maana kuwa mtu mwenye miaka 28 hapa nchini hakuwahi kuona utendaji kazi wa Mwalimu Nyerere serikalini na ndani ya CCM. hili ni kundi la vijana ambalo kwa sasa lina watoto wenye umri wa miaka 11 kisheria kwa sababu umri wa kuanza kufanya mapenzi nchini ni miaka 18.
Kama wale wachangiaji niliowaona kwenye kongamano ndio tunawategemea sana katika mawazo yao kwenye kulijenga taifa basi hili taifa litaendelea kugubikwa na unafiki mkubwa ambao ni sumu kwa maendeleo chanya.
Bila kuondoa unafiki na kuwa wakweli hatuwezi kujua madhaifu yaliyolifanya taifa hili kupiga hatua za kusua sua katika nyanja za kisiasa, kijamii na kiuchumi.
Tunajua sheria za maumbile(laws of nature)zimetupa angalizo kuwa ili kitu kiwe kamili lazima kiwe na pande mbili. Hata nguvu za kifizikia ziko za aina mbili mbili ambazo ni hasi na chanya.
Nakumbuka wakati nikisoma shule ya ‘’ngumbalu’’ tulikuwa tunafanya makongamano na midaharo ambayo lazima iwe na pande mbili zinazoitwa wanaokubaliana (The affirmative or Aff) na wasiokubaliana (the Negative or Neg).Hii yote ni kukamilisha takwa la sheria za maumbile ambayo ndani yake kuna fikra.
Kamusi ya kiswahili sanifu inasema, kongamano/mdahalo ni majadiliano yanayofanywa na pande mbili zinazokinzana kuhusu suala fulani kwa kueleza sababu na ithibati ya msimamo wao tofauti na kufikia hitimisho la pamoja.
Kile kilichoitwa ‘’kongamano la kumbukizi ya miaka 20 ya kifo cha mwalimu Julius Nyerere’’ hakikuwa na kiwango kinachokidhi kuitwa kongamano kwa sababu wachangiaji wote walikuwa wanaonyesha upande mmoja wa Mwl. Nyerere katika maisha yake.
Nadhani wale wanataka kumjua vizuri Mwl. Nyerere hawakuweza kupata upande wake wa pili kama ulivyobainishwa katika maandiko mengi na hasa kutoka kwa Mtanzania aitwaye Ludovic S. Mwijage katika maandiko yake kwenye vitabu mbali mbali ambavyo baadhi ni;
1)Dark side of NyerereLegacy-1996.
2) Julius K. Nyerere: Servant of God or Untarnished Tyrant?-2010.
Watu kama Ludovic Mwijage walitakiwa pia watoe michango yao katika kongamano hili ili upande wa pili wa Mwl. Nyerere ueleweke na kueleweka kwa upande wa pili ungesaidia kutoa fundisho zuri kwa vizazi vijavyo.
Waandaaji wa kongamano walishindwa vipi hata kumualika James Brennan ambaye amefanya utafiti na kukusanya mawazo ya watu mbali mbali kuhusu Mwl. Nyerere na kuyaweka katika kitabu kinachoitwa , Nyerere through the Eyes of His Critics, 1953-2013
Wangeweza hata kumuarika mwanaJamiiforums mwenzetu, Mzee Mohamed Said ambaye ni mwandishi na mhariri wa maandiko mengi yenye mlengo wa kushoto kuhusu Mwl. Nyerere.
Tuache kuufanya mijadala kama hii iwe niya kinafiki kisiasa kama sehemu ya kuifundisha jamii yetu bali tufanye mijadala yenye pende mbili zenye mitazamo tofauti kama sehemu ya kuchambua ''pumba na mchele'' katika kuujua ukweli kwa sababu ukweli hujenga.
Walioandaa kinachoitwa ‘’kongamano la kumbukizi ya miaka 20 ya kifo cha mwalimu Julius Nyerere’’ haikuwa ni kongamano bali ni mkusanyiko wa wapiga propaganda zenye unafiki.
Tuache unafiki, tulitendee haki taifa letu na vizazi vijavyo!
Usiweke mwanvuli wa mawazo yako kwa watu wengine. Sema NAMSAMEHE na sio TUNAMSAMEHE!Nyerere ndiye architect wa kuharibu chaguzi za Zanzibar
Hata hivyo tunamsamehe kwa sababu ndiye muasisi wa Taifa hili jambo hilo ni kubwa mno kuliko makosa aliyotenda akiwa madarakani
Hakuna tusi hapo bali ninaonyesha ukweli wa upande wa pili wa Mwl. Nyerere ambao ulipaswa kusemwa kwenye kongamano.Back to Histoey!! Nyerere alikuwezesha Kusoma mpaka University with Government grants hakukua na Loan Board. Ulikua
Back to History!! Nyerere alikuwezesha Kusoma mpaka University Bure!!! (with Government grants hakukua na Loan Board). Ulikua Unakula + kulala Bure+ pesa ya kujikimu.
Leo Unakuja Jamii forum with Protuding Eyes Kumtusi Mwalimu.
Shame on You!!
RIP J.K. Nyerere.
Kweli kabisa hakuna binadamu mkamilifu.Unafiki ndio maana uwa namkubali Tundu Lissu uwa amngunyi maneno inapokuja kwenye kusimamia ukweli.
Tundu Lissu : Nyerere alizoea kuishi kwa uongo.
hakuna binadamu anaweza kuwa perfect 100% ilo halipo.
Nyerere ni babu yetu pamoja na kuwa mzalendo na mtu wa watu ila kuna vitu aliacha vikiwa vya ovyo ni swala la muungano fake na katiba ya chama kimoja kuiweka ndani ya vyama vingi.
Kabla ya kuhitimisha, ungetuelezea Mwl. Ambavyo hakuwa mdemokrasia kama ulivyo andika kwenye kichwa cha habari.Nimejiuliza maswali mengi baada ya kumewasikia wachangiaji karibu wote kwenye kusanyiko linaloitwa ‘’ kongamano la kumbukizi ya miaka 20 ya kifo cha mwalimu Julius Nyerere’’ wakitoa mchanganuo wa maisha ya Mwl. Nyerere kama raia wa kawaida na Kiongozi Mkuu wa Tanganyika na Tanzania.
Miaka 29 ni mingi sana tokea Mwalimu Nyerere alipoachia ngazi ya Mwenyekiti wa CCM Taifa na kuwa mwananchi wa kawaida. Hii ina maana kuwa mtu mwenye miaka 28 hapa nchini hakuwahi kuona utendaji kazi wa Mwalimu Nyerere serikalini na ndani ya CCM. hili ni kundi la vijana ambalo kwa sasa lina watoto wenye umri wa miaka 11 kisheria kwa sababu umri wa kuanza kufanya mapenzi nchini ni miaka 18.
Kama wale wachangiaji niliowaona kwenye kongamano ndio tunawategemea sana katika mawazo yao kwenye kulijenga taifa basi hili taifa litaendelea kugubikwa na unafiki mkubwa ambao ni sumu kwa maendeleo chanya.
Bila kuondoa unafiki na kuwa wakweli hatuwezi kujua madhaifu yaliyolifanya taifa hili kupiga hatua za kusua sua katika nyanja za kisiasa, kijamii na kiuchumi.
Tunajua sheria za maumbile(laws of nature)zimetupa angalizo kuwa ili kitu kiwe kamili lazima kiwe na pande mbili. Hata nguvu za kifizikia ziko za aina mbili mbili ambazo ni hasi na chanya.
Nakumbuka wakati nikisoma shule ya ‘’ngumbalu’’ tulikuwa tunafanya makongamano na midaharo ambayo lazima iwe na pande mbili zinazoitwa wanaokubaliana (The affirmative or Aff) na wasiokubaliana (the Negative or Neg).Hii yote ni kukamilisha takwa la sheria za maumbile ambayo ndani yake kuna fikra.
Kamusi ya kiswahili sanifu inasema, kongamano/mdahalo ni majadiliano yanayofanywa na pande mbili zinazokinzana kuhusu suala fulani kwa kueleza sababu na ithibati ya msimamo wao tofauti na kufikia hitimisho la pamoja.
Kile kilichoitwa ‘’kongamano la kumbukizi ya miaka 20 ya kifo cha mwalimu Julius Nyerere’’ hakikuwa na kiwango kinachokidhi kuitwa kongamano kwa sababu wachangiaji wote walikuwa wanaonyesha upande mmoja wa Mwl. Nyerere katika maisha yake.
Nadhani wale wanataka kumjua vizuri Mwl. Nyerere hawakuweza kupata upande wake wa pili kama ulivyobainishwa katika maandiko mengi na hasa kutoka kwa Mtanzania aitwaye Ludovic S. Mwijage katika maandiko yake kwenye vitabu mbali mbali ambavyo baadhi ni;
1)Dark side of NyerereLegacy-1996.
2) Julius K. Nyerere: Servant of God or Untarnished Tyrant?-2010.
Watu kama Ludovic Mwijage walitakiwa pia watoe michango yao katika kongamano hili ili upande wa pili wa Mwl. Nyerere ueleweke na kueleweka kwa upande wa pili ungesaidia kutoa fundisho zuri kwa vizazi vijavyo.
Waandaaji wa kongamano walishindwa vipi hata kumualika James Brennan ambaye amefanya utafiti na kukusanya mawazo ya watu mbali mbali kuhusu Mwl. Nyerere na kuyaweka katika kitabu kinachoitwa , Nyerere through the Eyes of His Critics, 1953-2013
Wangeweza hata kumuarika mwanaJamiiforums mwenzetu, Mzee Mohamed Said ambaye ni mwandishi na mhariri wa maandiko mengi yenye mlengo wa kushoto kuhusu Mwl. Nyerere.
Tuache kuufanya mijadala kama hii iwe niya kinafiki kisiasa kama sehemu ya kuifundisha jamii yetu bali tufanye mijadala yenye pende mbili zenye mitazamo tofauti kama sehemu ya kuchambua ''pumba na mchele'' katika kuujua ukweli kwa sababu ukweli hujenga.
Walioandaa kinachoitwa ‘’kongamano la kumbukizi ya miaka 20 ya kifo cha mwalimu Julius Nyerere’’ haikuwa ni kongamano bali ni mkusanyiko wa wapiga propaganda zenye unafiki.
Tuache unafiki, tulitendee haki taifa letu na vizazi vijavyo!
Uzur wa mwl Nyerere unatokaña na uongozi mbovu wa waliomfuata hvyo hákuna mtu wa ķufanana naye. Jambo kubwa ambalo halina ubishi ni uadilifu wake kwenye mali za umma na uwezo mkubwa kifikra kama kiongozi. Ináwezekana wengi wetu hatujosoma maandiko yáke ukisoma utajua dhana ya visionary leader,alikua na uwezo wa kufikiri hatua mbele zaid hata alikua na mapungufu ķama binadam kuliko waliomfuata ni vituko/very selfish hakuna cha jiwe wala nn!Nimejiuliza maswali mengi baada ya kumewasikia wachangiaji karibu wote kwenye kusanyiko linaloitwa ‘’ kongamano la kumbukizi ya miaka 20 ya kifo cha mwalimu Julius Nyerere’’ wakitoa mchanganuo wa maisha ya Mwl. Nyerere kama raia wa kawaida na Kiongozi Mkuu wa Tanganyika na Tanzania.
Miaka 29 ni mingi sana tokea Mwalimu Nyerere alipoachia ngazi ya Mwenyekiti wa CCM Taifa na kuwa mwananchi wa kawaida. Hii ina maana kuwa mtu mwenye miaka 28 hapa nchini hakuwahi kuona utendaji kazi wa Mwalimu Nyerere serikalini na ndani ya CCM. hili ni kundi la vijana ambalo kwa sasa lina watoto wenye umri wa miaka 11 kisheria kwa sababu umri wa kuanza kufanya mapenzi nchini ni miaka 18.
Kama wale wachangiaji niliowaona kwenye kongamano ndio tunawategemea sana katika mawazo yao kwenye kulijenga taifa basi hili taifa litaendelea kugubikwa na unafiki mkubwa ambao ni sumu kwa maendeleo chanya.
Bila kuondoa unafiki na kuwa wakweli hatuwezi kujua madhaifu yaliyolifanya taifa hili kupiga hatua za kusua sua katika nyanja za kisiasa, kijamii na kiuchumi.
Tunajua sheria za maumbile(laws of nature)zimetupa angalizo kuwa ili kitu kiwe kamili lazima kiwe na pande mbili. Hata nguvu za kifizikia ziko za aina mbili mbili ambazo ni hasi na chanya.
Nakumbuka wakati nikisoma shule ya ‘’ngumbalu’’ tulikuwa tunafanya makongamano na midaharo ambayo lazima iwe na pande mbili zinazoitwa wanaokubaliana (The affirmative or Aff) na wasiokubaliana (the Negative or Neg).Hii yote ni kukamilisha takwa la sheria za maumbile ambayo ndani yake kuna fikra.
Kamusi ya kiswahili sanifu inasema, kongamano/mdahalo ni majadiliano yanayofanywa na pande mbili zinazokinzana kuhusu suala fulani kwa kueleza sababu na ithibati ya msimamo wao tofauti na kufikia hitimisho la pamoja.
Kile kilichoitwa ‘’kongamano la kumbukizi ya miaka 20 ya kifo cha mwalimu Julius Nyerere’’ hakikuwa na kiwango kinachokidhi kuitwa kongamano kwa sababu wachangiaji wote walikuwa wanaonyesha upande mmoja wa Mwl. Nyerere katika maisha yake.
Nadhani wale wanataka kumjua vizuri Mwl. Nyerere hawakuweza kupata upande wake wa pili kama ulivyobainishwa katika maandiko mengi na hasa kutoka kwa Mtanzania aitwaye Ludovic S. Mwijage katika maandiko yake kwenye vitabu mbali mbali ambavyo baadhi ni;
1)Dark side of NyerereLegacy-1996.
2) Julius K. Nyerere: Servant of God or Untarnished Tyrant?-2010.
Watu kama Ludovic Mwijage walitakiwa pia watoe michango yao katika kongamano hili ili upande wa pili wa Mwl. Nyerere ueleweke na kueleweka kwa upande wa pili ungesaidia kutoa fundisho zuri kwa vizazi vijavyo.
Waandaaji wa kongamano walishindwa vipi hata kumualika James Brennan ambaye amefanya utafiti na kukusanya mawazo ya watu mbali mbali kuhusu Mwl. Nyerere na kuyaweka katika kitabu kinachoitwa , Nyerere through the Eyes of His Critics, 1953-2013
Wangeweza hata kumuarika mwanaJamiiforums mwenzetu, Mzee Mohamed Said ambaye ni mwandishi na mhariri wa maandiko mengi yenye mlengo wa kushoto kuhusu Mwl. Nyerere.
Tuache kuufanya mijadala kama hii iwe niya kinafiki kisiasa kama sehemu ya kuifundisha jamii yetu bali tufanye mijadala yenye pende mbili zenye mitazamo tofauti kama sehemu ya kuchambua ''pumba na mchele'' katika kuujua ukweli kwa sababu ukweli hujenga.
Walioandaa kinachoitwa ‘’kongamano la kumbukizi ya miaka 20 ya kifo cha mwalimu Julius Nyerere’’ haikuwa ni kongamano bali ni mkusanyiko wa wapiga propaganda zenye unafiki.
Tuache unafiki, tulitendee haki taifa letu na vizazi vijavyo!
Mkuu;
Hata Lissu ni walewale, usimpe hizo sifa kwenye kusimamia ukweli. Lissu pia ni mwanasiasa mnafiki kama walivyo wanasiasa wengi hapa nchini.
Kwa ujumla huwezi kuwa mwanasiasa nchini kama wewe sio mnafiki kwa sababu siasa zetu haziruhusu wagombea binafsi.
Vyama vya siasa vyenye madiwani na wabunge vimejengwa katika misingi ya kinafiki nchini. Huu ni ukweli.
Walio mpenda milioni 9, waliotaka kumuondoa 37 tu. Tafakari. Na mara zote walishidwa!Nasikia majaribio ma4 ya kumwondoa magogoni yalishafanyika japo yalifeli,enzi ya utawala wake sikuepo najiuliza km Leo hii anapendwa kila kona ya dunia enzi ya uhai ilikuwaje wakataka kumwondoa
Mkuu;Nasikia majaribio ma4 ya kumwondoa magogoni yalishafanyika japo yalifeli,enzi ya utawala wake sikuepo najiuliza km Leo hii anapendwa kila kona ya dunia enzi ya uhai ilikuwaje wakataka kumwondoa