Tusipakane mafuta kwa mgongo wa chupa, Mwl. Nyerere hakuwa mwanademokrasia!

Tusipakane mafuta kwa mgongo wa chupa, Mwl. Nyerere hakuwa mwanademokrasia!

Kuna jukwaa moja Facebook la kimataifa waliweka post moja ya mwl Nyerere watu mbalimbali wakaanza kuelezea sifa za Mwl....akajitokeza mtanzania mnoja tena akaongea kiingreza kibovu eti mwl Nyerere aliua waislamu zaidi ya elfu kumi alikuwa hawapendi sana!! Nikaona hizi nondo za kwenye vijiwe vya kahawa na sasa zimetiwa vitabuni zinawaharibu watu akili!
 
Kuna jukwaa moja Facebook la kimataifa waliweka post moja ya mwl Nyerere watu mbalimbali wakaanza kuelezea sifa za Mwl....akajitokeza mtanzania mnoja tena akaongea kiingreza kibovu eti mwl Nyerere aliua waislamu zaidi ya elfu kumi alikuwa hawapendi sana!! Nikaona hizi nondo za kwenye vijiwe vya kahawa na sasa zimetiwa vitabuni zinawaharibu watu akili!
Watu elf kumi ni wengi sana ingejulikana
 
Hakunilipia nyeyrere, ni tax walizolipia baba na mababu zetu
Hizo Tax Kwa Sasa Hao Baba Na babu Hawalipi ?

Kama Wanalipa Haki Hizo Unazipata ?

- Nyerere Aliondoka Madarakani Mwenyewe !

- Alikubaliana Na Wachache Kwa Kuruhusu Mfumo Wa Vyama Vingi Mwenyewe.

- Aliwaponda CCM Na Kuwapigia Kampeni Wagombea Wa Upinzani Kwenye Uchaguzi Wa Kwanza Wa Vyama Vingi '95.

- Aliwaruhusu Watu Wake Watoe Mawazo Na Waliompinga Naye Alitoa Ya Kwake Na Siyo Kuwajibu Kwa Kuwapurula Risasi 50 M2hana Wa Jua Kali.

- Aliongoza Nchi Wakati Ambao Kila Mtu Alikuwa Anapambania Madaraka Na Kihimaya Chake ( Waislam, Machief, Wachaha, Wahaya N.K )

- Above All Yeye Kama Binadamu Alikubali Kuna Mambo Alikosea Na Akaomba Radhi Tena Kwa Maandishi ( Tujisahihishe ) Na Akashauri Watawala Wafuate Mambo Ya Maana Na Kuachana Na Ya Kijinga.

- Hakuna Jambo Hata Moja Baya Alilofanya Kwa Nia Ya Kupata Faida Binafsi, Kafa Masikini

Sasa Ni Jambo Gani Hasa Jema Mnalitaka Kutoka Kwa Binadam?
 
Uko sahihi.
Na pia, mijadala ya kumhusu huyu Mzee, inaharibiwa na watu wanaomtazama kidini. Kuna watu kadhaa wameanzisha threads hapa kwa vile tu wanamhusisha na upendeleo/uonevu na dini fulani. As a result, most of them present seemingly objective views which are in reality subjective.
Hapo Ndipo Penye Tatizo.

Kuna Watu Wanamwma Iddi Amin Alikuwa Kiongozi Mzuri Kuliko Julius Nyerere.

Ukiwachunguza Kidogo Tu Unagundua "Dini" Imehusika.

Kuna Watu Wako Tayari Kuvumilia Mambo Hata Yawe Magumu Kupindukia As Long As Hayo Mambo Yanafanya Na Mtu Wao ( Dini, Kabila, Kanda, Rangi )

Most People Are So Desperately Stupid
 
Alishaona upepo wa mabadiliko na mbinyo wa jumuia za kimataifa baada ya kuanguka na kushindwa kwa mfumo wa kijamaa duniani,hivo hakuwa na chaguo.
Madikteta Wengine Wa Afrika Kama Kina Mugabe Wao Walipataje Chaguo ?
 
Madikteta Wengine Wa Afrika Kama Kina Mugabe Wao Walipataje Chaguo ?
Dikteta Mugabe baada ya kuwaponya walowezi mashamba aliwakasirisha wamagharibi wakampiga vikwazo,ambavyo leo ccm inata viondolewe hali ccm imeshindwa kuviondoa vikwazo ilivowawekea vyama vya upinzani nchini kushiriki shughuli za kisiasa.Baada ya dikteta mugabe kupigwa vikwazo akakimbilia kambi ya Ujamaa ambapo ambapo ndio misingi ya udikteta ilipolala.China na Urusi vimechangia sana kulifukarisha bara la Africa kwa kukumbatia na kueneza mifumo ya ujamaa Africa ambao ulizaa madikteta yaliyokaa madarakani karne.
 
Binafsi kuna kipindi tukiwa2 kujadili kuhusu.mwl.nyerere the other side of him. Na lile andiko sijui siku hizi liko wapi.

Mimi ni miongoni wmwa watu nilipo criticise mambo haya juu ya Mel

1) vijiji cha unakaa uanzishaj wa vijiji hizi haukuzingatia haki na usawa wa binadamu. Kiasi kwamba watu wengi walikuwa detached from their families and clans na wengine wengi kupoteza maisha kwa kuliwa n.a. wanyama wakali kisa kuanzisha vijiji ambavyo pia lengo lake la kupeleka huduma.kwenye hivyo vijiji halikufikiwa so ni bora angewaacha tu. Band no body dare to question him about this decision.

2) visasi kwa wale walioonekana politically kuwa threat kwake. Kama waziri wa kwanza wa elimu wa tanganyika mzee Kweka, waziri mkuu wa kwanza sokoine, mzee nsilo swali akakimbilia uhamishoni kwa kumuogopa. Na kuna Dr mmoja wa Zanzibar alimnyang'anya vyeti vyake na mpaka Leo Yule Dr hakuweza kupractise udaktari wake licha ya kumuomba Mara kwa Mara but alikataa kusamehe.

3) kutaka watanzania wawe wajinga. Yaan habari kupatikana ni mpaka iwe yake.

4)process ya nationalization aliifanya bila.kuwa.na tafakuri ya kutosha idea was good but alifail kuipa jicho la pili kiasi kwamba whatever alicho kibinafsisha nilikuwa kufa kifo kibaya. Better angewaacha wazungu manake at that time wazungu hawakuwa.tena threats kwetu. Alitakiwa tu kudhalilisha mfano katani Tanga mkulima mzawa anaweza kumiliki Shea pale na kazi zikafanyika akiwemo mzungu. Lkn ile.kila kitu tukichukue ilihali hakukuwa na manpower ya kutosha iliua hivi viwanda kifo kibaya.

Nina mengi ya kuandika kuhusu yy ikiwwmo kutaka watu tumaini kuwa uhuru aliutafuta mwenyewe akasahau kina skyes tangaza na wengine wengi walikuwa n.a. now hiyo hiyo lkn alitakiwa aqepo kiongozi na walimchagua yy kama kiongozi so uhuru nao hakuupigania yeye mwenyewe kama inavyo hubiriwa siku hizi
 
Back
Top Bottom