avogadro
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 8,082
- 14,457
➡️ Kwa muda mrefu wadau wahafidhina wa michezo hapa nchini wamekuwa wanakereka na tabia iliyoota mizozi ya Simba na Yanga kupokea na kushangilia timu za nchi nyingine zinazokuja kucheza na timu mojawapo kwa kusema kuwa wanakosa uzalendo
➡️ Jambo hili wamepambana nalo na limeshindikana kwa sababu ya historia ya kutaniana na kuombeana njaa baina ya timu hizo mbili kongwe
➡️Kila nchi ila utamaduni wake katika soka, zipo ambazo zinaweza huonuzalendo lakini kwa nchi kama Tanzania imeshindikana na hakuna timu ngeni inayokuja kucheza na timu hizo hukosa mwenyeji hivyo hujisikia nyumbani.
➡️ Badala ya kuendelea kupambana na upepo tungehalalisha na kuboresha zaidi ili ivutie timu na nchi mbalimbali kutumia uwanja wetu kama uwanja wao wa nyumbani.
➡️ Wahamasishaji wa hizi timu wangetumika ili kuujaza uwanja na kwa kugawanyika kwa kuvaa jezi za timu hizo ili wapate lile vibe la washabiki na kuleta hamasa.
➡️Kuna baadhi ya nchi ama hazina viwanja vyenye viwango au sababu ya vita na mambo mengine wangechagua uwanja wetu kuwa uwanja wa nyumbani
➡️Mfano timu ya burundi itautumia uwanja wetu dhidhi ya Cameroon, hivyo ingependeza viingilio vingeshushwa kidogo, wahamasishaji na washabiki wa Simba wanunue jezi za Cameroon na kuwashabikia na Wahamasishaji na mashabiki wa Yanga wanunue jezi na kuishangilia Burundii na sehemu ya mapato kidogo yangepewa timu hizo ili kuziboresha
➡️ Hii ingevutia nchi nyingi kuja bongo na ingetutangaza kimataifa, kuleta watalii na kuboresha soka letu la Bongo