Tusipoangalia kanda ya ziwa itatuletea tyranny of the majority

Na waliojenga katoro ni watu wa kaskazini mostly
Hai kuna mabilionea wengi na wanajenga nyumba za kisasa kama ile ya Mbowe,
Thubutu wa kaskazini wakutafuta na tochi pale Katoro. Aidha hiyo nyumba ya Mbowe mbona ya kawaida Sana. Hujaona mijengo nini
 
Thubutu wa kaskazini wakutafuta na tochi pale Katoro. Aidha hiyo nyumba ya Mbowe mbona ya kawaida Sana. Hujaona mijengo nini
Hao ndio wanaoleta maendeleo kwa % kubwa,
Nyumba ya mbowe iko kijiini kabisa pale
 
Hofu Yako tu!Hata mkiwa maelfu kama hamna maarifa ni kama ng'ombe.Wazungu walitumia maarifa Yao wakawatala maelfu ya waafrika Tena wenyewe wakiwa ulaya waliotumika kufanya hiyo kazi hawafiki hata hamsini lakini Africa yote waliitwala.
 
ukija mfumo wa majimbo ni ushindi wa sera ya chadema. Ccm wakijitia wazimu kupalilia majimbo watajitengenezea dubwasha la kuwamaliza kwa maana jimbo la kanda ya ziwa ndilo litakuwa na uwezo wa kuamua nani awe mshindi wa urais kwa kupata kura nyingi huko
 
Itapendeza mikoa ndiyo iwe majimbo na si kanda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…