Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
Alikusudia kusema wengi wao ni wezi huko maofisini...kama CAG reports zingefanyiwa kazi wengi wangekuwa jela!
Sidhani kama ni kusudio, report ya CAG times times again imeonyesha wezi wanatokea wapi, mpaka maeneo mengine wamefanya special audit, bado wezi wamemulikwa maeneo husika, kaskazin iko bye
Labda tu nikupe intro, CAG anapita kila ofisi, taasisi. Ana timu yake inasambaa kufanya ukaguzi kila ofisi, hawapiti juu juu ,CAG anafanya kazi yake vizur