Makosa waliyafanya wale waliojidai wanawasema Sukima g ambayo haikuwepo, mdomo huo umewaumba na wao sasa wame gang up...
..Makonda ametusaliti.
..sasa anasaka kura kwa ajili ya Msoga gang.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Makosa waliyafanya wale waliojidai wanawasema Sukima g ambayo haikuwepo, mdomo huo umewaumba na wao sasa wame gang up...
Duh!... Too harsh."Never underestimate the power of fools in large numbers. They can elect one of their own to rule".
Ila bado walihitaji akili ya Mwl Julius kuongoza harakati.Haina haja ya kumsumbua Mzee wangu Mohamed Said, huo ni Ukweli Mwalimu anaingia TAA/TANU kakuta wazee wa Pwani Kina Sykes,Seleman takadiri,dossa azizi,Bi.titi washaweka misingi
Uko sahihi. Mengi ni mazezeta hawajui wanataka nini. Wanadai role model wao ni Magufuli!!!. Wana tabia za chuki za kutotaka mtu afanye maendeleo aendelee. Hovyo.uzuri wana mchango mdogo sana kwenye uchumi wa nchi...😂
Na bado utasema! Hao wajinga utaenda kuwaomba kura badae! Nyumbu nyinyi hamjawahi kuwapenda Wasukuma na wana kanda ya Ziwa!Uko sahihi. Mengi ni mazezeta hawajui wanataka nini. Wanadai role model wao ni Magufuli!!!. Wana tabia za chuki za kutotaka mtu afanye maendeleo aendelee. Hovyo.
Usitukane ongea kwa staha. Yani, nchi imsikilize form four failure? Hamna hata chembe ya aibu? Hamjui Mwenyekiti alishawadharau kuwateulia Mgalu feki?Na bado utasema! Hao wajinga utaenda kuwaomba kura badae! Nyumbu nyinyi hamjawahi kuwapenda Wasukuma na wana kanda ya Ziwa!
Sisi ndo tulimuangusha Membe 2015.Na 2030 sisi ndo tutawachagulia Rais.Kuigawa Mwanza na Shinyanga lilikuwa kosa kubwa sana.Maana wajumbe NEC na mkutano mkuu Baada ya kutoka Mwanza na Shinyanga, sasa wanatoka Mwanza,Shinyanga,Geita na Simiyu. Hawa ndo wanaleta Rais. Walimchagua Magufuli 2015 Kikwete hatawasasahu kwa kumwangusha Membe.Kanda ya ziwa wameishaujua mtaji wao kwenye siasa za Tanzania. Wanajua jinsi walivyo wengi. Na bahati mbaya au nzuri ndiyo wanaongoza kwa kuzaliana nchini. Dalili zinaonyesha wanataka kuutumia mtaji huo kukandamiza wengine. Leo hii hata wabunge wao ni kama hawasemehi majimbo yao tena bali kanda ya ziwa yote. Ni kama kila mbunge wa eneo hilo anawakilisha kanda yote.
Tusipokuwa makini watatukandamiza nchi yote sababu ya wingi wao. Watataka lazima mtu fulani mkubwa serikalini atoke kwao. Watalazimisha gawio kubwa la miradi nk. Nadhani huko mbeleni mfumo wa majimbo hautaepukika.
Ila ndo ma star bungeni.Kishimba,Msukuma, Maganga n.kKanda ya Ziwa ni Washamba, hawana impact yoyote, wabunge wao wote la saba
Nimekwambia na bado utaongea yote! Hujui hata Samia alikuwa na Certificate kwa maana alifeli form four lakini leo ndo Rais wako!Usitukane ongea kwa staha. Yani, nchi imsikilize form four failure? Hamna hata chembe ya aibu? Hamjui Mwenyekiti alishawadharau kuwateulia Mgalu feki?
Siasa ni maisha ya kubahatisha kuna watu walikuwa na nguvu kubwa sana serikalini leo wanagongea bia baa. Kuna watu walikuwa mabosi wakubwa sana huko leo hii wanategemea wapangaji katika nyumba zao. Cha msingi ni kuikomboa familia yako katika umasikini, Ukitoboa haijalishi Rais awe nani bata lazima ulile kuna msemo " cash is king everywhere you go ". Hao unaowaongelea wanashinda kununua magari na kuzaliana kwa sana utaweza kukuza kizazi cha maana kweli. Kuna yule waziri wa maliasili hela zote alizopiga aliishia kufanya biashara ya kuuza na kununua mazao kweli ? Yaani ni sawa mtu ana milioni mia bank anasema anafungua biashara ya mama ntilie. Hapo hio ndio hela aliyonayo bank bado ana uwezo wa kukopesheka. Wasukusu bado sana.Kanda ya ziwa wameishaujua mtaji wao kwenye siasa za Tanzania. Wanajua jinsi walivyo wengi. Na bahati mbaya au nzuri ndiyo wanaongoza kwa kuzaliana nchini. Dalili zinaonyesha wanataka kuutumia mtaji huo kukandamiza wengine. Leo hii hata wabunge wao ni kama hawasemehi majimbo yao tena bali kanda ya ziwa yote. Ni kama kila mbunge wa eneo hilo anawakilisha kanda yote.
Tusipokuwa makini watatukandamiza nchi yote sababu ya wingi wao. Watataka lazima mtu fulani mkubwa serikalini atoke kwao. Watalazimisha gawio kubwa la miradi nk. Nadhani huko mbeleni mfumo wa majimbo hautaepukika.
Sisi ndo tulimuangusha Membe 2015.Na 2030 sisi ndo tutawachagulia Rais.Kuigawa Mwanza na Shinyanga lilikuwa kosa kubwa sana.Maana wajumbe NEC na mkutano mkuu Baada ya kutoka Mwanza na Shinyanga, sasa wanatoka Mwanza,Shinyanga,Geita na Simiyu. Hawa ndo wanaleta Rais. Walimchagua Magufuli 2015 Kikwete hatawasasahu kwa kumwangusha Membe.
Hao wabunge ni la saba lakini wana fedha na point kuliko waliosoma elimu uchwara!Ila ndo ma star bungeni.Kishimba,Msukuma, Maganga n.k
Siasa ni maisha ya kubahatisha kuna watu walikuwa na nguvu kubwa sana serikalini leo wanagongea bia baa. Kuna watu walikuwa mabosi wakubwa sana huko leo hii wanategemea wapangaji katika nyumba zao. Cha msingi ni kuikomboa familia yako katika umasikini, Ukitoboa haijalishi Rais awe nani bata lazima ulile kuna msemo " cash is king everywhere you go ". Hao unaowaongelea wanashinda kununua magari na kuzaliana kwa sana utaweza kukuza kizazi cha maana kweli. Kuna yule waziri wa maliasili hela zote alizopiga aliishia kufanya biashara ya kuuza na kununua mazao kweli ? Yaani ni sawa mtu ana milioni mia bank anasema anafungua biashara ya mama ntilie. Hapo hio ndio hela aliyonayo bank bado ana uwezo wa kukopesheka. Wasukusu bado sana.
Wapigania Uhuru 90% walikuwa wenyeji wa Pwani na Moslems na ndio maana Kuna baadhi ya Picha zinamuonesha Mwl Amevaa barakashia,
Yaani ndo itakuwa balaa kabisa.Yale majina matano 2030 itakuwa balaa .Mimi ninajua Mwanza,Shinyanga, Simiyu na Geita hawa huwa wanapigia kura jina moja. JK HATAWASAHAU walivyomnyima kura Membe.Nabado tunahitaji mkoa wa chato na nzega[emoji28]
Wasukuma. Duuu.Nimekwambia na bado utaongea yote! Hujui hata Samia alikuwa na Certificate kwa maana alifeli form four lakini leo ndo Rais wako!
Kesho yuko Mwanza Jitahidini kufatilia vizuri ili uendelee kuumia!
-Tangu awali mimi nilikuwa nazungumzia GEITA VIJIJINI, labda hukuwa makini kwenye kusoma,Mara vijiji mara mji! Wewe na wenzako mnapenda sifa za kijanga tu! Wewe unadhani Geita vijijini watu hawajengi nyumba nzuri nyinyi ndo mnajua kujenga peke yenu? Kama unazungumzia Mabilionea wa hela za Kibongo njoo Katoro Geita vijijini uwaone!
Kanda ya ziwa wameishaujua mtaji wao kwenye siasa za Tanzania. Wanajua jinsi walivyo wengi. Na bahati mbaya au nzuri ndiyo wanaongoza kwa kuzaliana nchini. Dalili zinaonyesha wanataka kuutumia mtaji huo kukandamiza wengine. Leo hii hata wabunge wao ni kama hawasemehi majimbo yao tena bali kanda ya ziwa yote. Ni kama kila mbunge wa eneo hilo anawakilisha kanda yote.
Tusipokuwa makini watatukandamiza nchi yote sababu ya wingi wao. Watataka lazima mtu fulani mkubwa serikalini atoke kwao. Watalazimisha gawio kubwa la miradi nk. Nadhani huko mbeleni mfumo wa majimbo hautaepukika.
Samia siyo Msukuma!Nimekwambia na bado utaongea yote! Hujui hata Samia alikuwa na Certificate kwa maana alifeli form four lakini leo ndo Rais wako!
Kesho yuko Mwanza Jitahidini kufatilia vizuri ili uendelee kuumia!
Yaani ndo itakuwa balaa kabisa.Yale majina matano 2030 itakuwa balaa .Mimi ninajua Mwanza,Shinyanga, Simiyu na Geita hawa huwa wanapigia kura jina moja. JK HATAWASAHAU walivyomnyima kura Membe.