Tusipoangalia kanda ya ziwa itatuletea tyranny of the majority

Kanda ya ziwa ndyo kila kitu kwa Nchi hii ila kwa wanaoelewa. Na na ndyo kanda inayotoa watu makini sana kwa wanaoelewa pia wanaelewa hili
Hata Mwamposa,Mzee wa upako wanatoka huko

Pia prof Mwandosya na Nape Nauye wanatoka huko Mwanza na shinyanga

Jenista Mhagama na simbachawene wanatoka Chato pia
 
Ngosha so far nakubaliana na wewe, Wabunge wa kanda ya ziwa akina mpina, Msukuma na wengine ndio wazungumzaji , mkoa kama kilimanjaro mtu unaweza kusema walipelka magogo.
Hiv bara ya mabogini kahe kule moshi ilishajengwa...vip ile ya majengo?

Ni aibu hadi leo hii manispaa ya moshi ina barabara za vumbi na wabunge wapo

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Sema hii Nchi tumeshachangamana sana.. Hakuna kitu kama hicho kinaweza tokea.

Kila kabila lipo Kila sehemu. Pia makabila yameoana sana , yaani hakuna jamii yenye nguvu tena.. Shukran sana kwa waliofanikisha kuunganisha

Hiyo ni kazi ya Nyerere apewe maua yake kuiunganisha hii nchi na kuua ukabila na udini japo mzee mohamed saidi na kundi lake wanataka kurejesha udini.
 
Ngosha so far nakubaliana na wewe, Wabunge wa kanda ya ziwa akina mpina, Msukuma na wengine ndio wazungumzaji , mkoa kama kilimanjaro mtu unaweza kusema walipelka magogo.
Unaweza kulinganisha Maendeleo ya VUNJO na kisesa kwa Mpina?
Au Unaweza Kulinganisha GEITA VIJIJINI na Hai kwa Maendeleo?
 
Kanda ya ziwa ndyo kila kitu kwa Nchi hii ila kwa wanaoelewa. Na na ndyo kanda inayotoa watu makini sana kwa wanaoelewa pia wanaelewa hili
Wenye bandari pwani wanasema hiiii...[emoji16]
 
Mgawanyo wa keki ya taifa umekuwa hauna usawa wa nani anatoa nini na anapata nini. Kanda ya ziwa inachangia pakubwa sana kwenye uchumi wa taifa lakini kinachopelekwa kule kwa ajili ya maendeleo ni sawa na hakuna. Binafsi sioni shida kama hili dubwashwa (kanda ya ziwa ) limeamua kuamka na kudai mgawanyo ulio sawa wa keki ya taifa.
 
Wahaya, Wakuria na Wajaluo hawezi kukubali kumezwa na Wasukuma.
Kwa nini useme hivo! Watu wa Mara ndo wanamahusiano sana makubwa na Wasukuma japo hawasikilizani! Wahaya si watu wakujichanganya na makabila mengine! Uchumi wa kanda ya ziwa kwa upande wa biashara na madini Wasukuma na Wakurya ndo wafanyabiashara wakubwa! Watu wa makabila mengine kama wahaya na Wachaga wapo ila si wengi kulinganisha na hao!
 
Kanda ya ziwa wameishaujua mtaji wao kwenye siasa za Tanzania. Wanajua jinsi walivyo wengi. Na bahati mbaya au nzuri ndiyo wanaongoza kwa kuzaliana nchini. Dalili zinaonyesha wanataka kuutumia mtaji huo kukandamiza wengine. Leo hii hata wabunge wao ni kama hawasemehi majimbo yao tena bali kanda ya ziwa yote. Ni kama kila mbunge wa eneo hilo anawakilisha kanda yote.

Tusipokuwa makini watatukandamiza nchi yote sababu ya wingi wao. Watataka lazima mtu fulani mkubwa serikalini atoke kwao. Watalazimisha gawio kubwa la miradi nk. Nadhani huko mbeleni mfumo wa majimbo hautaepukika.
Sio kweli, kuna uzi nimekua nikiandaa muda mrefu ntakuja kuweka hapa with evidence na proof jinsi gani kanda ya ziwa or wasukum hawaamui Rais na jinsi hawapigi kura kama block!!
 
Itapendeza huo uzi ukatuambia pia ni mikoa ipi hasa ni ya kanda ya ziwa na kama mikoa ya karibu na Ziwa Tanganyika nayo ni kanda ya ziwa.
 
Hiv bara ya mabogini kahe kule moshi ilishajengwa...vip ile ya majengo?

Ni aibu hadi leo hii manispaa ya moshi ina barabara za vumbi na wabunge wapo

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Priscuss Tarimo yupo busy na Hoteli ya baba yake, Moshi Leopards na maduka yao pale Double Road.
Priscus hakushinda kura za maoni ila JIWE alimbeba maana alikuwa anataka matajiri kwenye ufalme wake
Mabogini kahe kule ni story tu za kina Raibu na genge lake, usitegemee chochote, labda wazungu wa TPC waamue kujenga.
 
Karudie shule elimu ya gumbaru,,,mkoa kama mwaza,geita,shinyanga inamchango kidogo kivipi wakati almasi nchi hii ipo shinganga pekee,geita dhahabu,mwaza ziwa,simiyu na mara dhahabu.
Waongezee hifadhi ya Serengeti
 
Kanda ya ziwa wameishaujua mtaji wao kwenye siasa za Tanzania. Wanajua jinsi walivyo wengi. Na bahati mbaya au nzuri ndiyo wanaongoza kwa kuzaliana nchini. Dalili zinaonyesha wanataka kuutumia mtaji huo kukandamiza wengine. Leo hii hata wabunge wao ni kama hawasemehi majimbo yao tena bali kanda ya ziwa yote. Ni kama kila mbunge wa eneo hilo anawakilisha kanda yote.

Tusipokuwa makini watatukandamiza nchi yote sababu ya wingi wao. Watataka lazima mtu fulani mkubwa serikalini atoke kwao. Watalazimisha gawio kubwa la miradi nk. Nadhani huko mbeleni mfumo wa majimbo hautaepukika.
Sasa nini kifanyike?
 
hii kanda ildharaulika sana. imagine kanda zingine lami hadi vijijini, lakini huku mikoa kwa mikoa haijaunganishwa kwa lami, wilaya kwa wilaya ndo usiseme
 
Back
Top Bottom