Tusipoangalia kanda ya ziwa itatuletea tyranny of the majority

Kanda ya ziwa ndyo kila kitu kwa Nchi hii ila kwa wanaoelewa. Na na ndyo kanda inayotoa watu makini sana kwa wanaoelewa pia wanaelewa hili

..ni kanda yenye watu wengi, rasilimali nyingi, na viongozi au wawakilishi wabovu.

..kanda ya ziwa ingekuwa na viongozi makini wenye upo ingekuwa na hali bora ya kiuchumi kuliko maeneo yote hapa nchini. Yaani Watanzania tungekuwa tunakanyagana kujaribu kuhamia huko.

..so far viongozi wa CCM toka kanda ya ziwa wamekuwa WABINAFSI wa kutetea maslahi yao na ya chama chao badala ya kuwatetea wapigakura wao.
 

..nimeambiwa Wabunge toka kanda ya ziwa ni MATAJIRI kuliko wabunge wa maeneo yote ya Tanzania.


..Utajiri huo wa wabunge wa kanda ya ziwa hauko translated ktk ubora wa maisha ya wapiga kura wao.
 
Tofautisheni usukumani na kanda ya ziwa maana siyo kila mwenye asili ya kanda ya Ziwa ni msukuma

Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
 
Huwezi kuikwepa reality !
Kama hivyo ndivyo ilivyo basi itakuwa hivyo tu !πŸ™
 
..nimeambiwa Wabunge toka kanda ya ziwa ni MATAJIRI kuliko wabunge wa maeneo yote ya Tanzania.


..Utajiri huo wa wabunge wa kanda ya ziwa hauko translated ktk ubora wa maisha ya wapiga kura wao.
Mifumo ya uchaguzi ndani ya CCM ni uozo.
 
Mifumo ya uchaguzi ndani ya CCM ni uozo.

..nalaumu zaidi viongozi wao.

..wana ubinafsi uliopitiliza.

..wanajijenga wao binafsi badala ya kuwanunua wananchi wao kiuchumi.
 
Leo hii hata wabunge wao ni kama hawasemehi majimbo yao tena bali kanda ya ziwa yote. Ni kama kila mbunge wa eneo hilo anawakilisha kanda yote.
Tuitumie kama fursa kupigania kupunguza ukubwa wa bunge, kama mbunge mmoja anaweza kuzungumzia kanda nzima kuna haja gani kuwa na makumi ya wabunge
 
Ewe Wakili wa shetani ...
Naomba nikupe taarifa hii wewe na hao mashetani unaowawakilisha humu JamiiForums ......
HUB YA UCHUMI WA NCHI HII IKO KANDA YA ZIWA!

1- HIFADHI KUBWA YA TAIFA KWA MAPATO- "SERENGETI "
2- ZIWA KUBWA KWA MAPATO
-"Lake VICTORIA"
3- MIGODI MIKUBWA YA DHAHABU- GGM,BUZWAGI na NORTH MARA.
4- MGODI MKUBWA WA ALMASI"MWADUI".
5- UZALISHAJI WA ZAO LA PAMBA.
6-VUADILIFU NA UZALENDO KWA TAIFA.
7- UKAKAMAVU NA ULINZI KWA TAIFA.
8- UKWELI NA UWAZI KWENYE SIASA ZA NCHI HII.
9- RASLIMALI WATU.
10- ULINZI NA USALAMA WA MIPAKA YETU, Na Nchi zote za maziwa makuu!

kwa hiyo kabla mleta mada hujaongea upuuzi wako kwa sababu ya wanaokutumia!

Jitafakari na hayo machache hapo juu!
Jiulizeni kwa nini mkoloni wa kijerumani aliamua kwanza kuleta Reli ya kati huku "KANDA YA ZIWA" la Mama Tanzania [emoji1241]
 
Karudie shule elimu ya gumbaru,,,mkoa kama mwaza,geita,shinyanga inamchango kidogo kivipi wakati almasi nchi hii ipo shinganga pekee,geita dhahabu,mwaza ziwa,simiyu na mara dhahabu.
Kwa hiyo Migodi kama GGM, Mwadui, North Mara, Buhemba n.k inamilikiwa na Wasukuma?
 
Ukificha upumbavu wako itasaidia na vile mtu mzima
 
Mgawanyo haujawahi kuisha. Hata US wanajitambua kuwa kuna wahispania, walatino, weusi, weupe ambao nao kuna wajerumani, wascotland, Waireland, Waingereza wa England, Wafaransa, Waitaliano, Wayahudi, Wascandnavia
Kuna red na blue states, kuna kusini, Kaskazini, Mashariki na magharibi
 
uzuri wana mchango mdogo sana kwenye uchumi wa nchi...πŸ˜‚
Uwezo Ndogo sana wa kuelewa Mambo, fuatilia uone kama kuna Kanda nyingine ya kushindana na Kanda ya Ziwa kwenye mchango wake kwa Taifa ukitoa Dar wanaotegemea zaidi bandari. Huu mchezo hauhitaji hasira utayanywa tu maji upende usipende. Lake Zone ni level nyingine wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…