Tusipoangalia kanda ya ziwa itatuletea tyranny of the majority

Hizi mada hushadadiwa zaidi na vijana wa kanda ya kaskazini(hasa wachaga)...

Hawa ni mabingwa wa ukabila na migawanyo...

Wamekua machawa wa Samia lakini ni kama mama huyu hawajali, walitamani mawaziri wengi watoke huko lakini kimya

Sasa hasira zao ndo kama hivi.
 
Karudie shule elimu ya gumbaru,,,mkoa kama mwaza,geita,shinyanga inamchango kidogo kivipi wakati almasi nchi hii ipo shinganga pekee,geita dhahabu,mwaza ziwa,simiyu na mara dhahabu.
Utalii ndio sekta inayoliingizia taifa hili mapato mengi zaidi kuliko sekta nyingi zote.
 
Makonda anainyoosha nchi[emoji1787][emoji1787]
 
Bahati mbaya sana hali nzuri ya kiuchumi au maendeleo hayategemei sana rasilimali ulizo nazo bali uwezo wa kiakili wa raia kwa wingi wao katika eneo hilo. Ndio maana Israel, Singapore, Taiwan, Japan, Korea Kusini na nchi nyingi za Ulaya hawana rasilimali ila wameendelea sana.
 
Hoja ya kipumbavu kabisa....
 
Naona fikra za ubaguzi wa kikanda zinaingia kwenye akili za watu timamu kidogo kidogo lakini kwa uhakika. Kama hizi tuhuma zina ukweli ndani yake ni vema wenye mamlaka wakawa makini.
 
Toka lina elimu ikawa na uhusiano na maendeleo? Na toka lini uongozi ukawa na uhusiano na elimu?, Uongozi ni kipawa mtu anazaliwa nacho.
 
Wafanyabiashara wengi wa huko ni watu wa kaskazini, nyie mko mnafuga n'gombe
 
Mikoa inayopakana na Ziwa Tanganyika, Rukwa na Nyasa nayo ni kanda ya ziwa??
 
Toka lina elimu ikawa na uhusiano na maendeleo? Na toka lini uongozi ukawa na uhusiano na elimu?, Uongozi ni kipawa mtu anazaliwa nacho.
Uongozi una uhusiano mkubwa sana na elimu na hasa ubora wa elimu yenyewe ila kila mahali au kila jambo huwa kunaweza kuwa na exceptions.
 
Haina haja ya kumsumbua Mzee wangu Mohamed Said, huo ni Ukweli Mwalimu anaingia TAA/TANU kakuta wazee wa Pwani Kina Sykes,Seleman takadiri,dossa azizi,Bi.titi washaweka misingi
Bale...
Abdul na Ally Sykes walikuwa vijana.
Sheikh Suleiman Takadir ndiye alikuwa Mzee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…