johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Nilihisi utamwamaga point. La haulAaaKila mwaka idadi ya wanafunzi wanaoingia darasa la kwanza na kidato cha kwanza inaongezeka, na itaendelea hivyo kwa miaka mingi ijayo.
Kuongeza madarasa na kununua madawati mapya kila mwaka siyo suluhisho la kudumu.
Niwaombe Waziri wa elimu Prof Ndalichako na yule wa Tamisemi Dr Jaffo mkae pamoja kuangalia nini kifanyike ikiwemo kupitia upya mfumo mzima wa elimu.
Elimu......Elimu......Elimu.
Maendeleo hayana vyama!
Bwashee hilo trailer tu subiri wale wanaotekeleza sera ya fyatueni tu ya Magu, watoto wao wafike umri wa kwenda shule serikali ya ccm itaomba misaada ya kujenga madarasa mpaka itakuwa aibuKila mwaka idadi ya wanafunzi wanaoingia darasa la kwanza na kidato cha kwanza inaongezeka, na itaendelea hivyo kwa miaka mingi ijayo.
Kuongeza madarasa na kununua madawati mapya kila mwaka siyo suluhisho la kudumu.
Niwaombe Waziri wa elimu Prof Ndalichako na yule wa Tamisemi Dr Jaffo mkae pamoja kuangalia nini kifanyike ikiwemo kupitia upya mfumo mzima wa elimu.
Elimu......Elimu......Elimu.
Maendeleo hayana vyama!
Ndahihi mwagito!John pede ndauli?
Mimi nikafikiri utamwaga nondo za nini kifanyike kumbe hujaleta chochote.
Ni kwamba kuongeza madarasa na madawati kila mwaka ni sawa kabisa. Lakini wanachokosea hawa ni kukumbuka shuka kumekucha. Hiyo ishu inatakiwa ianze kufanyiwa tathmini tangu januari mwaka unapoanza.
Hili tatizo la watoto kukosa madarasa lipo kila mwaka tangu nchi hii kupata uhuru, sijui kwanini hawajipangi mapema.
Alee.. Unoge hilo muyangu,Ndahihi mwagito!
Ndiyo Ukweli Wenyewemaendeleo hayana vyama, na vyama havina maendeleo
Ninaowateua Wameshindwa Kufikiria Nje Ya Boxtukianzia kwako mkuu, wewe unadhan nini hasa kifanyike
Congrats.Hil suala nimeliwaza sana jana na nimefarijika kuona na wewe pia ni the sameIko hivi kwa tathmini yangu,tatizo linaanzia kwa maafisa elimu kata.
Wao inapofika January wanatakiwa wafanye yafuatayo
1.afisa elimu kata aangalie Ana shule ngapi za msingi zenye darasa la Saba wangapi,kwa mfano Ana shule 7 za msingi Kila shule Ina wanafunzi wa darasa la Saba 60 ,maana yake 60*7 sawa na wanafunzi 420 wa standard seven, Hawa unaweka asilimia tisini watafaulu,maana yake 400 wataenda sekondari.
Unaangalia shule zako za sekondari hapo katani ni ngapi kwa mfano ziko 3,sawa,Kila shule Ina uwezo wa kuchukua form one wangapi? Mfano uwezo ni 300 wanafunzi,kwa hiyo 100 hawatakua na nafasi wakifaulu,unalipeleka, kwenye kikao Cha maendeleo ya kata na kwa afisa elimu na mkurugenzi umemaliza.