CAPO DELGADO
JF-Expert Member
- Aug 31, 2020
- 8,542
- 18,340
Jamaa chenga sana.
NILIJUA UMEKUJA NA PROPER SOLUTION.
NILIJUA UMEKUJA NA PROPER SOLUTION.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Awape mawazo wateule wake sasaNinaowateua Wameshindwa Kufikiria Nje Ya Box
Ndiyo Ukweli Wenyewe
Nasema Uongo Ndugu Zangu
😀😁😂🤣😃😄😂😁😀🤣😃😃😄
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
Ndiyo Ukweli WenyeweAwape mawazo wateule wake sasa
Swali lako ni zuri lakini ulivyoliweka kuna walakin. Kama wanafunzi darasa la 1 wanaongezeka kila mwaka (kwa sababu tunazidi kuzaa na kuhamia 5%), maana yake ni kwamba shule iliyokuwa na madawati 400 sasa itabidi iongeze nadawati 20 kama wamezaliwa watoto 20. What is wrong with that? Ila kama unataka kusema hawa 20 wasome kwa Internet wakiwa nyumbani, hapo sawa: hutahitaji madawati 20. Una maana hiyo, au ninakusemea? Waziri Jaffo ana shughuli nyingi, mpe maoni mbadala.Kila mwaka idadi ya wanafunzi wanaoingia darasa la kwanza na kidato cha kwanza inaongezeka, na itaendelea hivyo kwa miaka mingi ijayo.
Kuongeza madarasa na kununua madawati mapya kila mwaka siyo suluhisho la kudumu.
Niwaombe Waziri wa elimu Prof Ndalichako na yule wa Tamisemi Dr Jaffo mkae pamoja kuangalia nini kifanyike ikiwemo kupitia upya mfumo mzima wa elimu.
Elimu......Elimu......Elimu.
Maendeleo hayana vyama!
Kila mwaka idadi ya wanafunzi wanaoingia darasa la kwanza na kidato cha kwanza inaongezeka, na itaendelea hivyo kwa miaka mingi ijayo.
Kuongeza madarasa na kununua madawati mapya kila mwaka siyo suluhisho la kudumu.
Niwaombe Waziri wa elimu Prof Ndalichako na yule wa Tamisemi Dr Jaffo mkae pamoja kuangalia nini kifanyike ikiwemo kupitia upya mfumo mzima wa elimu.
Elimu......Elimu......Elimu.
Maendeleo hayana vyama!
Mwaga point bwashee acha mbwembweShida ya kuwa na malengo ya matamanio yako peke yako hayo,hata waumini wa mtazamo huo mnaanza kuweweseka nini,tulia dawa iwaingie.
Haya suala LA watu kuongezeka linatakiwa liwepo mkuu.Umenena vyema ila mimi ni nani nichangie ujenzi wa madarasa RUVUMA nichangie pia ujenzi MARA... Ilipo fikia wananchi wajitoe kwa maeneo waliyopo unless serikali ianzie campain ya kitaifa kuchangia ujenzi wa madarasa yenye usawa na isiyo na ukakasi mana tushang'atwa na nyoka awali.
Ishu ya uzazi wa mpango pia ipo ukanda fulani zaidi ukubali au ukatae... DEMOGRAPHY ya nchi yetu inaongezeka kikanda
Ongezeko la watu sio la kuangalia india, china nk ni la kuangalia sisi JE tunaweza kulibeba hili ongezeko.....Haya suala LA watu kuongezeka linatakiwa liwepo mkuu.
Angalia nchi zenye watu wengi zilivyo mana ndo labour force inakuwa.
Niambie kuhusu China,India,Nigeria,Brazil watu wakoje na uchumi wao.
Ivi unajua sie bado tupo wachache ile population density bado kabisa ndugu. Kuna nchi huko ukanda Wa Scandinavian wao eneo lao ni 5× ya LA kwetu ila sie population yetu Iko 5× ya population yao.
Mie naunga mkono hii dhana ya watu kuongezeka watakaokufa ngoja wafe ila ndo akili zitakaa sawa watu.
Ukitaka tu kulijua tatizo au Kiini kikubwa cha Elimu nchini Tanzania ni kwamba wale Failures wote Mashuleni Kimbilio lao Kuu ni katika Ualimu tu.
Wanaopanga Sera ya Elimu nchini wakiwa ni Watu Weledi na wenye Akili ila Walimu wakiwa ni Failures hapo unategemea Tija ya Kitaaluma 100%?Walimu ndio wanapanga na kutengeneza sera za elimu za nchi hii!?
hawana uwezo huoKila mwaka idadi ya wanafunzi wanaoingia darasa la kwanza na kidato cha kwanza inaongezeka, na itaendelea hivyo kwa miaka mingi ijayo.
Kuongeza madarasa na kununua madawati mapya kila mwaka siyo suluhisho la kudumu.
Niwaombe Waziri wa elimu Prof Ndalichako na yule wa Tamisemi Dr Jaffo mkae pamoja kuangalia nini kifanyike ikiwemo kupitia upya mfumo mzima wa elimu.
Elimu......Elimu......Elimu.
Maendeleo hayana vyama!
Shule ya msingi miaka 2 tu warudi mtaani.Tukianzia kwako mkuu, wewe unadhan nini hasa kifanyike
Ulitaka kuwa na hoja ila umekosa hoja.Historia ya elimu nchini hauijui kiasi cha wewe kuweza kufungua uzi na kujadili.Kila mwaka idadi ya wanafunzi wanaoingia darasa la kwanza na kidato cha kwanza inaongezeka, na itaendelea hivyo kwa miaka mingi ijayo.
Kuongeza madarasa na kununua madawati mapya kila mwaka siyo suluhisho la kudumu.
Niwaombe Waziri wa elimu Prof Ndalichako na yule wa Tamisemi Dr Jaffo mkae pamoja kuangalia nini kifanyike ikiwemo kupitia upya mfumo mzima wa elimu.
Elimu......Elimu......Elimu.
Maendeleo hayana vyama!
Wewe unashauri kipi kifanyike ili kuliondoa tatizo hilo kama mnafyatua watoto kwa fujo?Kila mwaka idadi ya wanafunzi wanaoingia darasa la kwanza na kidato cha kwanza inaongezeka, na itaendelea hivyo kwa miaka mingi ijayo.
Kuongeza madarasa na kununua madawati mapya kila mwaka siyo suluhisho la kudumu.
Niwaombe Waziri wa elimu Prof Ndalichako na yule wa Tamisemi Dr Jaffo mkae pamoja kuangalia nini kifanyike ikiwemo kupitia upya mfumo mzima wa elimu.
Elimu......Elimu......Elimu.
Maendeleo hayana vyama!
akili za BAVICHA bhanaa, ni mfu kabisa.Kila mwaka idadi ya wanafunzi wanaoingia darasa la kwanza na kidato cha kwanza inaongezeka, na itaendelea hivyo kwa miaka mingi ijayo.