Ego is the Enemy
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 8,201
- 16,246
Mbona kama unajitenga kama wewe sio sehemu ya Tanzania. Hata kama kwako kuko vizuri inatakiwa ulichukulie kiumoja mkuu. Na sio kuwa elimu ya uzazi baadhi ya mikoa,Mara mikoa mingine watu waamke waanze kujenga shule. Inatakiwa hata kama wewe sio Wa Huo mkoa wakitaka kujenga unachangia mana ni mama yako Tanzania unainyanyua ukiwa na mawazo ya ivyo hatutaendelea.
Kwa mama yako mmesoma na MNA maisha mazuri ila je kizazi cha babu yako mkubwa ama mdogo wako wakoje. Waone kama ni sehemu ya uzao Wa babu yako ama baba yako mkuu.
Kuwa na mentality ya kuifanyia Tanzania kitu uje Ku kumbukwa.
Ujue Africa tupo nyumba kisa ya mentality ya ki kanda kikabila ama kidini ivyo vitu vinatufanya tunagawanyika.
Angalia Rwanda Ethiopia ama kenya kinachofanyika.
Unakumbuka kuwa ama unajua kuwa ndugu zetu wangekuwa na akili wao ndo wangetoa mtawala Wa kwanza Tanganyika lakini kaka.
Ila wamejaa sana ama wamejaa sana ukabila kichwani ndo kinachowaumiza na kitAzidi kuwaumiza. Sawa wamesoma lakini sio kuwa wao ni bora ama ni wajanja kuliko wengine.
Na wewe rahisi utakuwa unatokea huko.
Kama haujui Mangi Mareale alipishana na Nyerere airport yaani mareale Anaingia Tanganyika naye Nyerere ndo anapenda ndege anaenda UN huko huko Mareale alikotoka.
Sasa Marelae yeye alienda kuomba Uhuru Wa Kaskazini yaani ile kanda tu ila Nyerere yeye alivyoenda UN aliomba Uhuru Wa Tanganyika na akapewa mkuu.
Leo ujue.

Hii ni kesi ya baadhi ya mikoa tu kuna mikoa mingine shule zinafungwa kwa kukosa watoto unalijua hiliii.....
Kuongeza madarasa kwa shule hizo sio option mana hata maeneo yanakwisha labda vitumike viwanja vya michezo (litakua kosa la ajabu).. Option na njia sahihi ni kuanzisha shule mpya ikiwa imetimia kwamaana ya kuanzia chekechea mpaka std vii.
Kuna kosa serikali inafanya kuigawa shule moja na kuwa mbili katika eneo moja HUU NI UJUHA WA HALI YA JUU...
KUNA haja pia Gvt ikaona umuhimu wa kuwa na madarasa ya juu (ghorofa) kusave space..
Kuhusu tathimini hili maafisa elimu (REO's) hua wanalifanya mapema sanaa ikiwemo kupredict kiwango cha kufaulu kwa idadi ya wanafunzi alionao kazi hubaki kwa makatibu tawala na watendaji (hasa wa kata) hapa ndo kwenye tatizo na pakufanyia kazi...
Imefika wakati wananchi wa mikoa fulani kuamka na kutoitegemea serikali katika ujenzi wa shule au madarasa vinginevyo wazazi wajue TANZANIA TUNAANDAA MAHOUSE GIRL kutoka mikoa fulani.
Tubadili mfumo wa elimu twende kwa technology hili linahitaji uwekezaji mkubwa na muda mrefu ambapo kwa TANZANIA ni kama haliwezekani.
Tuajiri walimu AJIRA, AJIRA, AJIRA, AJIRA wanafunzi wanaongezeka, madarasa yanaongezeka walimu wapo walewale haya mambo yaende sambamba... WALIMU WANATESEKA JAMANI, WAKIMU WANAUMIAAAA....
Kama kweli tunapenda elimu.... Gvt iweke kipaumbele huko SOON RWANDA anaenda kutake over AFRICA kwa elimu.
Mwisho kama elimu ya uzazi hatitolewa kwa baadhi ya maeneo TANZANIA tumekwisha.