mtanzania in exile
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 1,379
- 1,276
Nishakujibu hiliLete uthibitisho kuwa hii sehemu inauzwa au inakodishwa
Nenda kavute bangi zako, usije hafa na ufedhuli wa kitoto.Kwa kukiri tu kuwa huna ushahidi/ ushahidi hutakiwi kuendelea kuongea lolote.
Kalale. Sio kipindi cha propaganda hiki
Wasalimie Kenya. Waambie Bongo tumeamkaNishakujibu hili
Nenda kavute bangi zako, usije hafa na ufedhuli wa kitoto.
Ni chuki zako tu za kutokuwa na maarifa.....una asili ya uchawi....hayo unayosikia ni makaburu yaliyoko kenya toka kitambo.....usivyo na akili una mlenga ndg yako...ambaye nae ametegwa bila kujua... Huyo Baba nyerere amemkomboa kwa gharama kubwa!! Kupitia "front line state" hakika tutaanza na wewe!!Sio sawa mkenya apone na Mtanzania aumie. Sio vizuri Kenya kuifanyia umafia Tanzania ili maslahi ya Tanzania yaharibike. Kwa nini Kenya wanataka kuharibu maslahi ya Tanzania kwa kupigia chapuo Ngorongoro kufa?
Amani iwe nanyi
Kama kichwa cha uzi kinavyosema, Kama Mtanzania ninayeipenda nchi yangu, ninayejali maendeleo ya Watanzania wote vizazi na vizazi, leo nasema kwa Sauti moja, Kama tunajali maendeleo ya Tanzania yetu, Ni lazima wamasai waondoke Ngorongoro ili lile eneo liendelee kuwa na wanyama wengi na kuvutia watalii ambao ni moja ya vyanzo vikuu vya mapato kwa Taifa letu
Kwa nini nasema haya?
1. Ngorongoro ni moja ya sehemu chache hapa Tanzania ambazo mtalii ana uhakika wa kuona wanyama walio kwenye hatari ya kupotea Duniani yaani Tembo, Faru, Simba, Nyati na Chui.
Nimefika ngorongoro kusema ukweli hadi Tour guides wanakwambia hivi karibuni imekuwa ngumu sana kuwaona baadhi ya hawa wanyama na sio tu hawa bali hata wanyama wengine ambao huko mwanzoni walikuwa ni wengi na wanaonekana kirahisi na kuvutia watalii wengi na kuongeza mapato mf pundamilia, pofu na wengineo. Hii ni kwa sababu wanadamu wameongezeka sana Ngorongoro na asili ya wanyama pori ni kuwa hawapendi kuchangamana na binadamu na shughuli za kibinadamu zikizidi huwa wanahama.
2. Kuna taarifa za uhakika kuwa Wanyama wanaohama Tanzania wanahamia upande wa pili yaani Kenya hivyo Kenya anafaidika kwa kuongezeka kwa shughuli za kibinadamu Ngorongoro ambazo zinahamishia wanyama wetu Kenya. Hii ni hatari sana kwa uchumi wa Tanzania kwa sababu siku si nyingi, Watalii hawataona umuhimu wa kuja Ngorongoro na hivyo kwenda Kenya na kufanya nchi yetu kukosa Mapato.
3. Kuna taarifa za uhakika pia kuwa Wamasai waishio Ngorongoro hawana hata makabuli. Hivyo ikitokea mmasai amefariki anaachwa aliwe na fisi na mbweha. kibinadamu hii si sawa.
Napenda kumaliza kwa kusema imefika wakati sasa kwa maslahi mapana ya Tanzania, Wamasai wahamishwe Ngorongoro. Eneo hili ni nyeti na Tanzania nzima tunalitegemea kimapato. Likiangamia, Tanzania imeangamia. Ni wakati sasa Fedha zinazotengwa kuwalisha wamasai takribani bilioni 3-4 kwa mwaka zielekezwe sasa kuwajengea makazi ya kudumu wamasai hawa eneo jingine na kuwapatia teknolojia ya kufuga wanyama wachache tena kibiashara na kuachana na Maisha yale ya kijima
Naomba kuwasilisha!
Ondoeni Wawindaji na Mahoteli yanayoota kila kukicha, ondoeni watu ambao sio Wamasai Ngorongoro, baada ya hapo hizo shida zote hamtazisikia.kwa iyo unaona sawa Shughuli za kibinadamu kuzidi Ngorongoro na wanyama kuhamia Kenya kuondoka Tanzania?
Unique feature ya Ngorongoro ni mchanganyiko wa Wanyapori na Binadamu. Na Ndio maana likaitwa eneo la Hifadhi. Wamasai wamekuwa Wahifadhi wa Wanyamapori KWA sababu wao HAWAWINDI WALA KUUWA WANYAMAPORI, it has been so for decades, ila KWA sasa kuna "Wamasai Waarabu na Wazungu" Ndio wanaowinda na kufukuza Wanyama kutokana na uwindaji wao na Mahoteli yao huko porini. Masai ni sehemu ya Utalii KWA Ngorongoro. Nao wanachangia pato la Taifa KWA Watalii kutoka maelfu ya Kilomita kuja kuona Binadamu anaishi na wanyamapori, lakini pia alietunza utamaduni wake KWA karne na karne.Wanyama wanaleta watalii wanaoleta fedha nyingi sana zinazonunua madawa hospitali, kujenga barabara na kulipa mishahara ya watanzania wenzangu
Ngorongoro imepakana na Manyara na Serengeti. Ili ife, inabidi uziue zote hizi pamoja na Masai Mara ya Kenya nayo itakufa. So, hamna Hoja yoyote ya kuwaondoa watu Ngorongoro. Mkitaka waondoeni Waarabu na Mahoteli yote Ngorongoro.Haya yatakuwa mapandikizi ya Kenya yanayotaka Ngorongoro ife ili yakamate soko la utalii Afrika Mashariki
Hayo maeneo mnaonaje mkawapeleka Wanyama? Kama kule Burigi?Nani kakwambia hakuna maeneo ya kuwapeleka Tanzania?
Huna Hoja yoyote ya kuwaondoa. Zaidi sana nauona ushabiki maandazi tu kwako. Wameishi na Wanyama KWA milenia zaidi ya 7, leo Ndio unashangaa wao kuishi na wanyamapori? Hiyo ni Akili kweli? Huoni hiyo ndiyo uniqueness yao na hivyo wanapaswa kulindwa?Na mm nakazia watoke tu maana hamna namna nyingine watokeeeee...period...watu wanafanya mipango ya kwenda kuishi Mars sisi tunawatetea wamasai wazendelee.kuishi na wanyama pori...maajabu Haya
Hiyo hela ya kuwalisha wanaowatetea Kuna jinsi wanakulaga ganchi hapo haiwezekani kutumia hela nyingi kiasi hicho kwa watu ambao wanaaribu hifadhi yetu hyo hela itumike kuwaandalia makazi mapya waiache hifadhi yetu.
Hatuwataki Tena wamasai ngorongoro waondoleweeee.
Kwani ukipelekwa kwenye hayo maeneo utakufa? Jiandae tu , lazima uhamishweHayo maeneo mnaonaje mkawapeleka Wanyama? Kama kule Burigi?
Unajua milenia 1 ni miaka mingapi? Au unaropoka tu hapa?Huna Hoja yoyote ya kuwaondoa. Zaidi sana nauona ushabiki maandazi tu kwako. Wameishi na Wanyama KWA milenia zaidi ya 7, leo Ndio unashangaa wao kuishi na wanyamapori? Hiyo ni Akili kweli? Huoni hiyo ndiyo uniqueness yao na hivyo wanapaswa kulindwa?
Ngorongoro ni ya wanangorongoro. Na KWA nini hii Hoja inakuja sasa? Kwamba Ndio Wamasai wameingia sasa hivi Ngorongoro?
Ondoeni kila mtu Ngorongoro wabaki Wanyama tu, asiwepo Mwarabu mwindaji wala mwenye Hoteli ndani ya Hifadhi.
Kuna mwarabu gani Ngorongoro? Nani kakwambia Wamasai tu ndo wanatolewa Ngorongoro? Hadi mamlaka wameamrishwa kuondoa ofisi zao ndani ya hifadhiNgorongoro imepakana na Manyara na Serengeti. Ili ife, inabidi uziue zote hizi pamoja na Masai Mara ya Kenya nayo itakufa. So, hamna Hoja yoyote ya kuwaondoa watu Ngorongoro. Mkitaka waondoeni Waarabu na Mahoteli yote Ngorongoro.
Hakuna kinachobaki Ngorongoro zaidi ya wanyama kwa ajiri ya hifadhi tuOndoeni Wawindaji na Mahoteli yanayoota kila kukicha, ondoeni watu ambao sio Wamasai Ngorongoro, baada ya hapo hizo shida zote hamtazisikia.
Ongera kwa kujaza serverHuna Hoja yoyote ya kuwaondoa. Zaidi sana nauona ushabiki maandazi tu kwako. Wameishi na Wanyama KWA milenia zaidi ya 7, leo Ndio unashangaa wao kuishi na wanyamapori? Hiyo ni Akili kweli? Huoni hiyo ndiyo uniqueness yao na hivyo wanapaswa kulindwa?
Ngorongoro ni ya wanangorongoro. Na KWA nini hii Hoja inakuja sasa? Kwamba Ndio Wamasai wameingia sasa hivi Ngorongoro?
Ondoeni kila mtu Ngorongoro wabaki Wanyama tu, asiwepo Mwarabu mwindaji wala mwenye Hoteli ndani ya Hifadhi.
Mapandikizi ya Kenya haya. Yapo humu kwa mkakati maalumOngera kwa kujaza server
Ndo maana nimemjibu hvo mkuu...sikuona haja ya kulumbana naye .Mapandikizi ya Kenya haya. Yapo humu kwa mkakati maalum
Nikuulize wewe. Mimi najua ni miaka 1000/ sasa jiulize wapo hapo miaka 7000/, ni milenia ngapi?Unajua milenia 1 ni miaka mingapi? Au unaropoka tu hapa?
Kamdanganye bibi yakoKuna mwarabu gani Ngorongoro? Nani kakwambia Wamasai tu ndo wanatolewa Ngorongoro? Hadi mamlaka wameamrishwa kuondoa ofisi zao ndani ya hifadhi
Hongera KWA kuonesha ulivyo Mpumbavu!Ongera kwa kujaza server