Tusipokubaliana na mtazamo wa Godbless Lema, CCM itaendelea kutawala na katiba ya Sitta itapita

Tusipokubaliana na mtazamo wa Godbless Lema, CCM itaendelea kutawala na katiba ya Sitta itapita

Mikael P Aweda


Mkuu tutafika tu.
Kama South Afrika ya Mandela waliweza sisi tutashindwe nini?
Walichokifanya Kwa Mwenyekiti wa BAWACHA leo iwechachu na mwanzo wa mapambano,Maandamano ya amani maana hii haki ya Kiraia,na haifai kuwekewa mipaka na watawala.
Watawala walioshindwa wanatakiwa kuachia ngazi na nakuanza upya kupitia majukwaa ya kisiasa na siyo kutumia Jeshi dhidi ya Raia.


Mkuu natumai makamanda watakuwa wamepata ujumbe huu murua !
 
Last edited by a moderator:
Ni heri vita inayotafuta haki na usawa kuliko amani inayopumbuza-Godlesss Lema.

A very wise saying by wise person.

Hutaki unaacha!

Lema awe wise person huyu kiongozi wa vibaka na wanywa gongo! Hebu rudia tena??
 
Mwoga namba moja ni DJ Mbowe anaekimbia maandamano na kwenda kula ice cream South Africa
 
Binafsi nimekuwa shabiki wa CDM kwa Muda sasa na nitaendelea kuwa lkn kwa Muda ho wote nimejifunza mengi,mazuri kwa hiki chama na mabaya yake.......ushauri Wangu kwa sasa juu ya hiki chama changu na chaguo la wanyonge ni kuwa ipo haja ya kubuni mbinu mpya ya kupambana na ccm,kiukweli hii ya maandamano imesaidiA japo pia imetugharimu wapendwa wetu sasa ni Muda muafaka wa kuja na mpango mwingine......
Kulikuwa na mpango wa kuanzisha TV ya CDM sijui umeishia wapi,hii ingesaidiA sana kutangaza sera za chama,kufanya elimu ya uraia na mambo mengi ya kukiweka chama hadharani.
 
sifongo

wamebuni hadi za tindikali hazijafanya kazi, hakuna mbinu mbadala.
 
Last edited by a moderator:
Lema Arusha anabebwa na Wachagga wenzake.. Siasa za Arusha zimejaa ukabila na udini
 
Mikael P Aweda

Tunahitaji kiongozi wa namna hii? nimejaribu kurudia kusoma sioni sehemu uliyomsifia kwa kuhamasicha maendeeo au hata uongozi bora.

Woga, woga, woga!!! na waliopoteza ndugu zao na au waliopata ulemavu kwa hamasa zake za fujo wananufaika nanini sasa nadhani next utaelezea hayo mkuu.
 
Last edited by a moderator:
Hapo ndo huwa sikuelewi. 'Watu wanataka maendeleo na si maandamano'. Hapa unatofauti gani na aliyeuliza 'mnataka maji au maandamano'.... iweje miaka 50 ya uhuru kuna vijiji havina maji salama na umeme? Nini kizuie maandamano ktk hali hii ya mchakato wakatiba?.....

Nini chanzo cha maandamano? Nani analeta maendeleo kama si serikali inayokusanya kodi then maamuzi ya busara ya viongozi hao?

Viongozi wapi wenye akiri....hao waliokuwa bunge la katiba?....matusi, kejeri, kiburi.....hukuviona ndani yao?
 
Binafsi nimekuwa shabiki wa CDM kwa Muda sasa na nitaendelea kuwa lkn kwa Muda ho wote nimejifunza mengi,mazuri kwa hiki chama na mabaya yake.......ushauri Wangu kwa sasa juu ya hiki chama changu na chaguo la wanyonge ni kuwa ipo haja ya kubuni mbinu mpya ya kupambana na ccm,kiukweli hii ya maandamano imesaidiA japo pia imetugharimu wapendwa wetu sasa ni Muda muafaka wa kuja na mpango mwingine......
Kulikuwa na mpango wa kuanzisha TV ya CDM sijui umeishia wapi,hii ingesaidiA sana kutangaza sera za chama,kufanya elimu ya uraia na mambo mengi ya kukiweka chama hadharani.


Mkuu hili kusema kweli kwa CDM inatakiwa kuwa kipaumbele cha Kwanza,ilikuondokana na upuuzi huu wa Vyombo vya habari kununuliwa na Wanasiasa na kuleta ubaguzi kwenye utangazaji wa habari.
 
Godbless Lema ni think tank ya CHADEMA kwa sasa na kwa maana hii, CHADEMA kinafanya vizuri sana katika uwanja wa siasa!.

Eti CCM hawawezi kushinda Arusha.

Eti Watanzania ni waoga.

Eti Godbless Lema ni jasiri.

Mnatoa matamko, mnahamasisha migomo na maandamano lakini watanzania wanawapuuza siyo kwa sababu ya uwoga wao bali kwa sababu ya hekima na busara zao.

Kama kweli Godbless Lema ni jasiri na ana mbinu za kisiasa za kuishinda CCM, ilikuwaje katika kampeni hii,

Kwa nini hakutumia ujasiri wake na kulichukua jimbo la Kalenga?
 
Vibaraka wa CCM bwana, mtu akianzia thread ambayo haiendan nao wanasend link kwa mabwana zao kina sita, membe, lowasa nk af utackia “ TUTUMIE HELA YA BANDO TUPAMBANE NAO HAWA UKAWA WAPO MTANDAONI" kina chabruma tumieni akili zenu sio mnawaza kwa kutumia makalio
 
Ota tu ndoto za ndaria na danganyika na godbless lema... Kwa taarifa yako lema hajatengeneza ngome ya chadema arfusha na kamwe usipime kwa viti viwili vya udiwani.... jaribu kwanza kutathmini chopa tatu kata tatu lakini bila chopa kata ishririni na tisa...upooooo.
Mikael P Aweda
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom