Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu Shemeji Aweda, kwanza asante kwa hii!, pili inaelekea uliedit na kusave huku umeikata hii thread, edit tena urudishe yale yaliyokatika!.
Mwisho, nadhani hii thread ni mingoni mwa threads zile zile za watu kuwaabudu watu!, kusifiana ushujaa, huku mkiliangamiza taifa!. Mimi nilikuwepo Arusha wakati wa kampeni za Mhe. Lema, mwenyewe anajua kilichomfanya ashinde, na mimi pia nakijua, na wala sio huo ujasiri maandazi unaousifia humu!. Mhe. Lema ni "populist kind of a leader!", Arachuga ni mji wa machalii, hivyo kadri unavyofanya fujo, ndivyo unavyozidi kupendwa!, na hata ingetokea Osama akafanya ziara AR, Watu wangefunika mbaya viwanja vya Unga LTD!.
Sifa kuu ya Arusha ni jiji la kitalii, linalotegemea uchumi wa kitalii, kwenye utalii amani na utulivu ni muhimu kuliko kuondoa uonga!. Wananchi wa Arusha, wanataka maendeleo na sio maandamano!, hawatakula huko kuondoa uoga!.
Kwa msio jua, ushindi wa Lema Arusha Mjini, ni sawa na Ushindi wa Nasari kule Arumeru, chanzo za shindi zote hizo mbili ni "vita vya panzi" CCM kwa CCM!.
CCM wakiweka nyumba yao sawa, Arusha na Arumeru, 2015 kazi ipo!.
Kwa maoni yangu, 2015, Chadema sio tuu inahitaji viongozi populist kana Lema type, Sugu type etc, inahitaji watu wenye "brain power!" ya kuweza kushika dola!. Kuna viongozi wa Chadema they are the best kwenye kuhamasisha maandamano, kuchochea fujo na vurugu!, halamu they do nothing kuhamasisha maendeleo!. Watu wananaka maendeleo na sio maandamano!.
Pasco[/QUOTE
Pasco unapotosha. Nani amekwambia Lema hapendi maendeleo? Watu wa Arusha ni walipaji wa kodi wazuri, na kwa taarifa yako mapato ya jiji la arusha yamepanda sana toka madiwani wengi na mbunge kuwa wa cdm. Maandamano ya amani ni haki ya kikatiba mambo yanapoenda ndivyo sivyo.
Kwa aya ya mwanzo tu' kichefuchefu! Unavutiwa na matusi yake kwa raisi? Halima Mdee Vs Esta Bulaya, Wewe Vs Lema now. Timizeni zile ndoto za ndoa za jinsia moja anazozitetea Lema.
Ccm ina baraka za haki kutoka kwa mungu.mtahangaika sana
uko sahihi nadhani ni wakati mzuri wa cdm waunde cheo kiitwe "mhamasishaaji mkuu taifa" hata kama hakipo kwenye katiba yao kinaweza kutengenezwa kwa malengo maalum kwa muda kuelekekea uchaguzi 2015 kiwe na wajumbe nganagri nchi nzima, iili tuachane na siasa legelege
Hahahahahaaaaaaa! Naona machadema yanajifariji. Mkuu aweda, unatafuta Uben Saanane nini?
Hivi kuna mtu muoga kama Lema, sijui kama unakumbuka kipindi cha mkutano wa Chadema Arusha, Lema aliwakimbia polisi akaenda kujificha kwenye meza ya kuuzia nguruwe akiwaogopa polisi.
Kuna viongozi wa Chadema they are the best kwenye kuhamasisha maandamano, kuchochea fujo na vurugu!, halamu they do nothing kuhamasisha maendeleo!. Watu wananaka maendeleo na sio maandamano!.
Pasco
Lema Arusha anabebwa na Wachagga wenzake.. Siasa za Arusha zimejaa ukabila na udini