Huyu lazima awekwe kizuizini kwa usalama wa raia
Lema mwisho wake ni 2015
Ni heri vita inayotafuta haki na usawa kuliko amani inayopumbuza-Godlesss Lema.
A very wise saying by wise person.
Hutaki unaacha!
Kuota ni haki ya kila mtu.... Lakini kwako naona unaota huku unatembea
Ni heri vita inayotafuta haki na usawa kuliko amani inayopumbuza-Godlesss Lema.
A very wise saying by wise person.
Hutaki unaacha!
Binafsi nimekuwa shabiki wa CDM kwa Muda sasa na nitaendelea kuwa lkn kwa Muda ho wote nimejifunza mengi,mazuri kwa hiki chama na mabaya yake.......ushauri Wangu kwa sasa juu ya hiki chama changu na chaguo la wanyonge ni kuwa ipo haja ya kubuni mbinu mpya ya kupambana na ccm,kiukweli hii ya maandamano imesaidiA japo pia imetugharimu wapendwa wetu sasa ni Muda muafaka wa kuja na mpango mwingine......
Kulikuwa na mpango wa kuanzisha TV ya CDM sijui umeishia wapi,hii ingesaidiA sana kutangaza sera za chama,kufanya elimu ya uraia na mambo mengi ya kukiweka chama hadharani.
Lema mwisho wake ni 2015
Lema awe wise person huyu kiongozi wa vibaka na wanywa gongo! Hebu rudia tena??
Kwa nini hakutumia ujasiri wake na kulichukua jimbo la Kalenga?
Lema ashukuru sana Arusha kuna wachagga wengi