Mikael Aweda
JF-Expert Member
- Dec 17, 2010
- 2,973
- 3,904
- Thread starter
-
- #101
Du!, haya ni maneno makali kama upanga wa makali kuwili, kuyameza ni chungu kuliko shubiri, hili la kujiandaa kisaikolojia kushindwa kwa kweli halipo kabisa mawazoni na kwenye fikra zetu!.Kwanza nashukuru kunijuza kuwa post yangu ilikatika nusu,
pili, shemeji yangu kwa jinsi unavyojenga kila aina ya hoja kumtetea mtu wako, nahisi akikosa utajisikia vibaya mwezi mzima. Punguza matumaini shemeji. Najua Lema ni mbaya wenu pale Arusha anawaharibia sana. Hata hivyo, naomba mjiandae kisaikojia kushidwa --- kwa Arusha hakuna haja ya kujifariji, jaribuni mahali pengine.
Mkuu Tindo, asante kwa hii, nimeguswa!, nitajitathmini, na kufanya maamuzi sahihi!.
Pasco
Mkuu Veni, asante kunidhania nina upande, sina upande kabisa!. Hili la kujivua ufahamu, nalo neno, ila ili ujivue huo ufahamu, kwanza ni huo ufahamu wenyewe uwepo, ndipo ujivue!, bahati mbaya sana kwangu, hata huo ufahamu wenyewe sina, sembuse kuuvua?!.Pasco ameamua kujivua ufahamu. japo kuna wakati anataka kuonyesha kwamba yeye hayupo upande wowote ila ukisoma between the lines unaelewa anachokishabikia. Kilichobaki kwa sasa aachane na habari ya kujaribu kufanya critical analysis, aweke mambo hadharani tu
Ccm ina baraka za haki kutoka kwa mungu.mtahangaika sana
Huku kudhania nina akili sana kushinda watu wote walioko Chadema, kunatokea wapi?!. Pasco wa jf nineyemfahamu mimi, hata hizo akili kidogo tuu, hana!, sasa hizo akili nyingi sana kuwashinda watu wote walioko Chadema azipatie wapi masikini wa Mungu, Pasco wa jf!. Hilo la kuusaka u-Rweye nalo neno!, ila laiti ungalijua!.Pasco poti wangu umezidi kujipendekeza, duh, hivi wewe unadhani una akili sana kushinda watu wote walioko Chadema. ? Kila mara huwa nakwambia urweyemamu unakusumbua sana.
Ccm ina baraka za haki kutoka kwa mungu.mtahangaika sana
Lema lazima mwakani tumuondoe Ameharibu sana biashara ya Utalii Arusha
Ccm ina baraka za haki kutoka kwa mungu.mtahangaika sana