Tusipokuwa makini na kujiandaa vizuri huenda Machi 2, 2024 wana Simba SC tukachekwa sana

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Siku tuliyoichagua ya Jumamosi ni mbaya kwetu Kinujumu (Kiushirikina) na hata tarehe yenyewe ya Pili/Mbili nayo mbaya sana kwetu.

Kafara kubwa na la hatari linatakiwa kufanyika vinginevyo tujiandae kulia, kuumia na kuchekwa.

Nimemaliza.
 
Acha kutisha watu wewe. Ile Jwanang Galaxy ni timu mbovu sana kwa sasa. Yaani siku hiyo simba watakuwa wanapiga bomu mochwari.

Ile timu hata ikicheza na Mtibwa sugar, wanaweza kuondoka na ushindi wa kishindo.
Labda wabadilike, ila kwa mechi nilizoziangalia yaani ndio timu mbovu kuliko zote. Timu hata kupiga pasi tano hawawezi. Ni timu mbovu haswa
 
Siku tuliyoichagua ya Jumamosi ni mbaya kwetu Kinujumu ( Kiushirikina ) na hata tarehe yenyewe ya Pili / Mbili nayo mbaya sana Kwetu.

Kafara Kubwa na la Hatari linatakiwa Kufanyika vinginevyo tujiandae Kulia, Kuumia na Kuchekwa.

Nimemaliza.
Kwa ufupi tu, unajua nini kuhusu Yanga?
 
Siku tuliyoichagua ya Jumamosi ni mbaya kwetu Kinujumu ( Kiushirikina ) na hata tarehe yenyewe ya Pili / Mbili nayo mbaya sana Kwetu.

Kafara Kubwa na la Hatari linatakiwa Kufanyika vinginevyo tujiandae Kulia, Kuumia na Kuchekwa.

Nimemaliza.
Mkishindwa kumfunga ata jwaneng ambayo aina tofauti na lipuli ya iringa basi ndio nitajua iyo siyo timu ni genge la wahuni limejikusanya kupiga pesa za kanjibhai!
 
Siku tuliyoichagua ya Jumamosi ni mbaya kwetu Kinujumu ( Kiushirikina ) na hata tarehe yenyewe ya Pili / Mbili nayo mbaya sana Kwetu.

Kafara Kubwa na la Hatari linatakiwa Kufanyika vinginevyo tujiandae Kulia, Kuumia na Kuchekwa.

Nimemaliza.
Badala ya kuwapa kolo hamasa,nawewe unaingia kwenye unyonge🤓.Hamasa ya msemaji wa wananchi imehsmisha milima na kufukia mabonde,vipi GENTAMYCINE 🤓
 
Acha kutisha watu wewe. Ile Jwanang Galaxy ni timu mbovu sana kwa sasa. Yaani siku hiyo simba watakuwa wanapiga bomu mochwari.

Ile timu hata ikicheza na Mtibwa sugar, wanaweza kuondoka na ushindi wa kishindo.
Kwahiyo unamaanisha simba kashafika robo?
 
Back
Top Bottom