Tusipokuwa makini na kujiandaa vizuri huenda Machi 2, 2024 wana Simba SC tukachekwa sana

Siku tuliyoichagua ya Jumamosi ni mbaya kwetu Kinujumu ( Kiushirikina ) na hata tarehe yenyewe ya Pili / Mbili nayo mbaya sana Kwetu.

Kafara Kubwa na la Hatari linatakiwa Kufanyika vinginevyo tujiandae Kulia, Kuumia na Kuchekwa.

Nimemaliza.
Umefufuka baada ya kuingia mitini kwa aibu
 
Mkuu wakati mwingine acha ushabiki basi,Simba siyo mbovu kiasi kwamba ni mbovu kuliko Galaxy

Sent using Jamii Forums mobile app
Ulisoma ukaelewa au unadandia treni ilimradi tu ugongwe? Niliye m- quote amesema Galaxy ni wabovu na mimi nikakazia kuwa ni wabovu haswa hata kufikisha pasi tano hawawezi labda wawe wamebadilika. Aisee mbona mnajistukia kiasi hiko hata kama anazungumziwa mwingine mnajihisi ni nyie.
 
Siku tuliyoichagua ya Jumamosi ni mbaya kwetu Kinujumu (Kiushirikina) na hata tarehe yenyewe ya Pili/Mbili nayo mbaya sana kwetu.

Kafara kubwa na la hatari linatakiwa kufanyika vinginevyo tujiandae kulia, kuumia na kuchekwa.

Nimemaliza.

Nyie ndiyo watu mliokulia ndumba kwenye nyumba zenu! Pumbaff! Ingekuwa ndumba zinafanya kazi hiyo Simba si ingekuwa ilishaingia robo fainali asubuhi kweupe? Kwa nini bado inachechemea!
 
Siku tuliyoichagua ya Jumamosi ni mbaya kwetu Kinujumu (Kiushirikina) na hata tarehe yenyewe ya Pili/Mbili nayo mbaya sana kwetu.

Kafara kubwa na la hatari linatakiwa kufanyika vinginevyo tujiandae kulia, kuumia na kuchekwa.

Nimemaliza.
mimi japo ni yanga damdam lakini ntaishangilia simba kwani natamani simba na yanga ziingie robo fainali,ni faida kubwa nchi
 
Hadi kuifunga Jwaneng lazima mroge? [emoji855][emoji81][emoji81][emoji81]
 
Siku tuliyoichagua ya Jumamosi ni mbaya kwetu Kinujumu (Kiushirikina) na hata tarehe yenyewe ya Pili/Mbili nayo mbaya sana kwetu.

Kafara kubwa na la hatari linatakiwa kufanyika vinginevyo tujiandae kulia, kuumia na kuchekwa.

Nimemaliza.
Kafara kubwa humaanisha nini kinajimu
 
Siku tuliyoichagua ya Jumamosi ni mbaya kwetu Kinujumu (Kiushirikina) na hata tarehe yenyewe ya Pili/Mbili nayo mbaya sana kwetu.

Kafara kubwa na la hatari linatakiwa kufanyika vinginevyo tujiandae kulia, kuumia na kuchekwa.

Nimemaliza.
Hahahahaaa yani we jamaa ni dah!
 
Jamaa yangu JOHN MSEKE anayo yale macho ya mamba ambayo ulikuwa unatafuta.
 
Siku tuliyoichagua ya Jumamosi ni mbaya kwetu Kinujumu (Kiushirikina) na hata tarehe yenyewe ya Pili/Mbili nayo mbaya sana kwetu.

Kafara kubwa na la hatari linatakiwa kufanyika vinginevyo tujiandae kulia, kuumia na kuchekwa.

Nimemaliza.
Wachawi FC
 
Back
Top Bottom