GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Labda wabadilike, ila kwa mechi nilizoziangalia yaani ndio timu mbovu kuliko zote. Timu hata kupiga pasi tano hawawezi. Ni timu mbovu haswaAcha kutisha watu wewe. Ile Jwanang Galaxy ni timu mbovu sana kwa sasa. Yaani siku hiyo simba watakuwa wanapiga bomu mochwari.
Ile timu hata ikicheza na Mtibwa sugar, wanaweza kuondoka na ushindi wa kishindo.
Kwa ufupi tu, unajua nini kuhusu Yanga?Siku tuliyoichagua ya Jumamosi ni mbaya kwetu Kinujumu ( Kiushirikina ) na hata tarehe yenyewe ya Pili / Mbili nayo mbaya sana Kwetu.
Kafara Kubwa na la Hatari linatakiwa Kufanyika vinginevyo tujiandae Kulia, Kuumia na Kuchekwa.
Nimemaliza.
Duh kweli siku ya kufa nyani miti yote huteleza,na wewe unaunga mkono ujinga wa Popoma.Kabisa Mkuu
Mkishindwa kumfunga ata jwaneng ambayo aina tofauti na lipuli ya iringa basi ndio nitajua iyo siyo timu ni genge la wahuni limejikusanya kupiga pesa za kanjibhai!Siku tuliyoichagua ya Jumamosi ni mbaya kwetu Kinujumu ( Kiushirikina ) na hata tarehe yenyewe ya Pili / Mbili nayo mbaya sana Kwetu.
Kafara Kubwa na la Hatari linatakiwa Kufanyika vinginevyo tujiandae Kulia, Kuumia na Kuchekwa.
Nimemaliza.
Badala ya kuwapa kolo hamasa,nawewe unaingia kwenye unyonge🤓.Hamasa ya msemaji wa wananchi imehsmisha milima na kufukia mabonde,vipi GENTAMYCINE 🤓Siku tuliyoichagua ya Jumamosi ni mbaya kwetu Kinujumu ( Kiushirikina ) na hata tarehe yenyewe ya Pili / Mbili nayo mbaya sana Kwetu.
Kafara Kubwa na la Hatari linatakiwa Kufanyika vinginevyo tujiandae Kulia, Kuumia na Kuchekwa.
Nimemaliza.
Kwa kukata tamaa na kukosa hamasa,mtashanga mnapigwa hamsa🤓Mara simba kapiga mtu 7 hah!
Kwahiyo unamaanisha simba kashafika robo?Acha kutisha watu wewe. Ile Jwanang Galaxy ni timu mbovu sana kwa sasa. Yaani siku hiyo simba watakuwa wanapiga bomu mochwari.
Ile timu hata ikicheza na Mtibwa sugar, wanaweza kuondoka na ushindi wa kishindo.