Tusipokuwa makini na kujiandaa vizuri huenda Machi 2, 2024 wana Simba SC tukachekwa sana

"Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer"
Nakuunga mkono hoja
 
Picha la kutisha kutoka kwa Jwaneng Galaxy
 

Attachments

  • FB_IMG_17091298458398778.jpg
    512.5 KB · Views: 1
Acha kutisha watu wewe. Ile Jwanang Galaxy ni timu mbovu sana kwa sasa. Yaani siku hiyo simba watakuwa wanapiga bomu mochwari.

Ile timu hata ikicheza na Mtibwa sugar, wanaweza kuondoka na ushindi wa kishindo.
Ni kweli jamaa wanakimbiakimbia bila malengo yoyote mechi 5 wana goli 1 tu , kmc au prison atamfunga galaxy Hata goli 4.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…