Kipindi cha ugonjwa hatari wa corona ambao ulitikisa ulimwengu na mataifa makubwa kama China, America, Uingeleza,nk Rais wetu mpendwa Magufuli alituonyesha njia kuwa njia ya pekee kutuponya na gonjwa hili ni kumwomba Mungu muumba wa mbingu na nchi,kutubu na kuombolezea dhambi zetu na Mungu ataghairi atatuponya kama alivyoghairia asiwaangamize watu wa Ninawi baada ya mfalme wao kutangaza Siku za maombolezo.
Kweli Mungu wetu hakuangalia dhambi zetu bali alimtazama Rais wetu kwa namna alivyojinyekeza mbele zake na kuwaongoza watu 60 million kuelekea kwa Mungu. Kiongozi wa nchi kama Rais na kama mfalme,kulitaja jina la Mungu kwa unyenyekevu mbele ya wanadamu na marais wa nchi sijambo jepesi hata kidogo. Mimi na wewe tusingeweza na hata sasa hatuwezi.
Baada tu ya kutoangaza kuwa Mungu atatuponya na Corona (covid 19) Rais wetu alionekana mtu asiyekuwa na ufahamu .tuliona Kila thihaka kutoka kwa wapinzani na mataifa .
Sasa ikiwa Rais wetu Mungu alisikia kilio chake na cha watu wake Utaachaje kumchagua halafu umchague mtu asiyemwamnini Mungu tena watu ambao walisubili tuangamie ndipo Waone sababu ya kumsema Rais kuwa hafai?( kumbuka kipindi cha bunge la bajeti namna wapinzani walivyotoka bungeni eti wanajiweka karatini ili wenzao waliyokataa kutoka bungeni waangamie!!!).
Wakuu wa dini Mliangalie hili.sijasema mhubiri siasa lakini Mungu awatumie kwa kadri mtakavyoona inafaa. Kumbukeni makanisa na misikiti haikufungwa kwa ajiri ya utukufu wa Mungu wenu mnayemwabudu usiku na mchana .je mtamchagua nani?
Aliyesema Mungu hawezi au aliyesema Mungu anaweza?Anayeshabikia ushoga au anayechukia ushoga? Sikilizo rohoni kunasemaje kama sivyo Tumia akili kufikiri.usipige kura kwa kushawishiwa na hadithi zisizokuwa na maana.