Life2
JF-Expert Member
- Jun 8, 2016
- 3,387
- 4,880
Ni maajabu karne hii ya uwazi, karne ya ChatGPt, AI, Copilot..nk unataka kudanganya umma wa watu milioni 70 na ulimwengu mzima kwa Propaganda fake.
Lengo la yote hayo ni kuwasafisha makatili wachache wenye mikono inayovuja #DAMU za watanganyika waliouliwa kikatili sana na wengine kuishia kutupwa kama mizoga ya fisi porini.
Tena wakati mwingine mizoga ya wanyama hukusanywa na kuzikwa kwa heshima au kuchomwa moto ila makatili haya yalikua ni zaidi ya makatili yalichukua cheo cha #LUCIFER kabisa.
Kumbukeni damu ni #Uhai, damu inalia na kudai, kisa cha Abeli na Kaini kinatukumbusha haya.
Leo utajisifu na kujidai kisa unalindwa na mitutu ya Bunduki ila ipo siku utasimama mwenyewe na kujibia na wote wanaopiga kelele kisa kutetea matumbo yao watakukimbia.
Mfano humu kuna watu wamepoteza wapendwa wao wakihisi mazingira ya vifo vyao sio kwa Mapenzi ya Mungu either kwa ulozi or kuuliwa.
Famillia waliopoteza mpendwa wao na wahisiwa wa kusababisha kifo amani huwa inatoweka kabisa na visasi kuibuka
Halafu leo kwa amri ya mtu mmoja watanganyika tumepoteza wapendwa wetu maelfu kwa maelfu halafu bado analazimisha 4 iwe 7, hili haliwezekani.
Kwa damu za watanganyika wasio na hatia hata mkiendelea kutumaliza wote ipo siku hata mawe ya mtoni yatatoa vilio tu.