Tusipotezeane muda! Ukweli ni kwamba 'Ulidanganywa' na 'Wanafiki' kuhusu Kabudi na Lukuvi, ila sasa 'Unatuzuga' na 'Kujikosha' tu Kwao

Napita
 
Genta siyo Bavicha Ila hajawahi kumwacha salama mkosefu yeyote. Hata Magu Kwa Genta alikula za USO.
Mkuu mwambie huyo 'Mswahili Mpuuzi' kuwa GENTAMYCINE sijawahi kuwa CHADEMA na haitotokea kuwa huko au Chama Kingine chochote cha Upinzani ( japo napenda uwepo Wao Kidemokrasia na ninaviheshimu pia ) lakini nitaendelea kuwa Shabiki Tukuka wa CCM isipokuwa nina bahati mbaya moja Kubwa sana Maishani ambayo pia ni Asili yangu niliyoumbwa nayo ( inayowakera kama siyo Kuwachukiza Wapumbavu wengi nchini na hapa Jamvini ) na Mwenyezi Mungu ya kutokuwa Mnafiki, Muoga, Muongo, Kujiamini, Kuiamini IQ yangu, kutokukata Tamaa Maishani na kutopenda Kujipendekeza au Kujikomba kwa Mtu ( Maarufu / Kiongozi ) yoyote na kuwa Msema Ukweli daima hata kama nitapewa Hongo ( Rushwa ) au kutishiwa Kuuawa ( Kuuwawa )
 
Mama akitaka afanikiwe aanze kuteka na kuua wanaomkosoa kama alivyofanya mtangulizi wake aliyetwaliwa.

Aanze na wale vimbelembele, wadakwe wabambikiwe kesi huku na kule, akiona mtu kakosea ampige vijembe vya kutosha kisha ampoteze au amfukuze hadharani na kumweka house Arrest ikibidi.

Huu uhuru wa kumkosoa utampotezea focus. Uhuru ukipitiliza utamfanya ashindwe kabisa kutekeleza majukumu yake kama mfalme wa taifa.
 
Baada ya kuona amefanya mabadiliko kwa jazba/Hasira na kuona reactions ya watu sasa anajaribu ku appease/ Kufurahisha watu. Ila tayari tumeona na kujua ni unafiki tu. Mara Photo session na Speaker

Dira ya hii nchi imepotea kabisa,,,hakuna ajenda inayoeleweka..
Mama hio kufurahisha watu nadhani anaupiga mwingi sana,,,na anawafurahisha kweli kweli.....
 
Rais hahitaji sababu yoyote kumuondoa waziri au mteuliwa mwingine yeyote katika mhimili wa Serikali kasoro CAG tu
 
Rais hakosei mmesahau hii ni institution kubwa. Anayofahamu yeye sisi hatuwezi kuyajua kiurahisi au kiuhakika kiasi cha kutosha kama hii institution. You are on the receiving end not on command seat wao wanaona zaidi.
 
Kwahiyo unamaanisha aniue na Mimi au?
 
Kwahiyo unamaanisha aniue na Mimi au?
Hata ningekuwa mimi, kwa aina yako ya ukosoaji na unayemkosoa hatari lazima iwepo.

Unayemkosoa ameshaamini kawekwa na Mungu. Hivyo maamuzi yake ni maamuzi ya Mungu.

Usimweke majaribuni mteule wa Mungu.
 
Tatitizo kubwa la huyu mama ni washauri wake waliyo mzunguka ... hi aina ya watu wa ovyo, sana
Na ivyo itampelekea kushindwa Kwake mapema vilivyo.....
 
Ukweli sasa mama ndiyo anademka!
 
Waache wazee wale maisha Ikulu mama kataka wapumzike
 
Dira ya hii nchi imepotea kabisa,,,hakuna ajenda inayoeleweka..
Mama hio kufurahisha watu nadhani anaupiga mwingi sana,,,na anawafurahisha kweli kweli.....
Hii movie inachanganya. Ngoja tungoje itaishia wapi!
 
Yes Mhe. Lukuvi na Profesa Kabudi wamefanya kazi nzuri sana na hadi Rais kawasifia. Tatizo ni nini? Kuondolewa uwaziri na kuvutwa Ikulu? Nani ana hatimiliki ya uwaziri? Mzee Kawawa aliwahi kuongoza nchi akishika cheo cha PM kwa muda lakini aliwahi kuwa Waziri wa kawaida kabisa, ingekuwa sasa tungesemaje? Mzee Msuya aliwahi kuwa PM mara akatupwa huku na kule na hadi akakaa benchi. Tutambue cheo ni dhamana unaweza wewe kuwa Waziri leo kesho yule.

Kosa la sasa hili hatulizingatii. Ndiyo maana mtu akiteuliwa tunasema 'Kaula!' Huwezi kuula ktk nchi yenye matatizo makubwa kama hii. Unapaswa kuambiwa abebeshwa mizigo wa Wizara. Kwa hiyo sioni tatizo kabisa la Mhe. Rais kuwatumia Profesa Kabudi na Lukuvi katika kazi maalum za kujenga Taifa.πŸ™πŸ™
 
Mwanamke mikopo mkuu hata mtaani wanaongoza angalia j4 na alhamisi kwenye vibaraza toka saa nne asubuhi utapata majibu tuuu
 
Katika kiapo hupigwa vita ukanda, udini na Ukabila, lakini ajabu ni kuwa Dodoma imetoa mawaziri wa nne, pwani watano Tanga watatu hali ya kuwa mikoa mingine haina hata waziri mmoja huu ni mfano mbaya sana si wakuigwa, Rais anamfurahisha Lukuvi na kabudi kwa kodi zetu upande wa pili anasema Uraisi ni Taasisi
 
Unaenda mbali sana mbona Malima yuko Tanga au Dr Mahenge ni mkuu wa mkoa, ajabu ni nini hapo?
 
Wacha wazee wale penshen au wajiajiri kama wanavyohubir ktk majukwaa ya siasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…